Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

Naomba nikupe pole!, POLE sana ndugu yangu.........wanawake ni viumbe wa aina yake hapa duniani!!!
 
Jamaa amemsitiri mkeo uliemtelekeza na watoto.

Ulitaka wawe machokoraa?
Kamstiri kwa kuhongwa nyumba!? Huyo jamaa hana akili la sivyo ni mwizi yaani akakae kwenye nyumba ya me mwenzie na kujimilikisha kila kitu? Mbaya sana
 
Kosa lako ni kukata mawasiliano kwa muda mrefu,ulitakiwa uanze mawasiliano japo kwa mbali baada ya mambo kukaa vizuri kidogo,ila kubwa na la kushangaa ni huyo mwanamke kumilikisha lijamaa lingine nyumba ,naisi alijua umekufa tiari
 
- ulikosea kuchagua mke.
- ulikosea ulipoikimbia familia...

Kwa sasa pigania haki yako.. chukua mali zako zilizobaki... na pia chukua wanao kawalee wewe mwenyewe.
 
Acha kutunisha kifua, style ulioondoka nayo huna tofauti na aliyekufa, mshukuru rafiki yako kwa kukuangalizia familia yako iliyokushinda. Kuhusu ndoa ya wawil hao 'waache waoane' labda endelea kufight kwa ajiri ya nyumba na ukipata wapatie madogo hao.
 
Ulitaka afanyeje sasa ni vizur kaolewa na mtu unayemfahamu shaka hakuna utakuwa msukuma wewe ndio wenye tabia za kutelejeza familia zao hasa wakipata vijisent kidogo
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…