Nilimtongoza akanikataa akaanzisha mahusiano na rafiki yangu, wameachana anadai anahitaji tuwe wapenzi

Nilimtongoza akanikataa akaanzisha mahusiano na rafiki yangu, wameachana anadai anahitaji tuwe wapenzi

Elie zer

Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
73
Reaction score
68
Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda sana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!.

Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanilingishia, wakawa wapenzi, cha ajabu walimaliza mwezi mzima wakakorofishana, rafiki yangu akapanga dili na wenzake wawili, kisha akaenda kuyamaliza na girlfriend wake waka-pretend kusamehana!!

Rafiki akamvuta dem gheto kisha kaita wale rafiki zake wakam collaborate ety amalzie hasira za huyo dem kutokana na visa walivyofanyiana! Then wakaachana!! Nikawa nawa zoom tu!!

Juz juz yule dem kamtuma rafiki yang flan hv aje aniambie ety ananipenda!! Ety hata kpnd kile nilivyokuw namtaka ety na yy alikuw anantaka ila tu hakutaka kujirahisisha ili nisimchukulie vibaya!! Nilihc hasra za kutaka kujiua!

Siku iliyofuata kamtuma shost ake aje anieleze, nikamtimua!! Siku mbili baadae kaja mwnyw, kanitoa nyumban kanipeleka somewhere hv kaanza kujilza sasa, kaomba msamaha sana!!

Nikikaangalia nakaonea huruma ila nikikumbuka yale majib previously nataman nimnase mabanz ukijumlixha ile collabo sasa!

Mdogo wake niko nae kwny mahusiano, sema tu hayana hata wiki, nilifnya hvy ili nilipze kisasi! Ila sasa ndo kwanza tunashibana!!

Naombeni ushauri!!
Nawasilisha!!
 
Nilidhani huwa mnaandika hayo ma x kama ufupisho mnaokoa muda kumbe si kweli, hivi ukiandika xaxa badala ya sasa unakuwa umeokoa nini hapo?

Hakuna mtu mwenye hekima anaweza kukuchukulia serious kwa uandishi huu, na ndio maana huyo dada alikukataa. Kuwa kwanza.
 
Jitahidi kutofautisha 'x' na 's', uandishi wa aina hii unaonesha tabia yako halisi kuwa una makeke sana, mwanaume kuwa na mipasho siyo vizuri. Tumia uandishi unaoeleweka aiseeh, unaleta aibu kwa jamii hasa Mwalimu aliyekufundisha kiswahili.
 
Alaf inaonexha uko kijijini xindio?
Hao mabinti mnaowachezea na xjui kulipiziana kixaxi huku mjini huwapati!!!
😂😂😂
 
Haka kamwandiko nakajua.

Huyu sio Shamba Boy wangu Yakobo?

Yakobo nimekuachia kazi kibao za kupulizia dawa shambani, ila upo kwenye mtandao unaendekeza mapenzi.

Subiri nikuendee hewani.
Hahaaa
 
Nilidhani huwa mnaandika hayo ma x kama ufupisho mnaokoa muda kumbe si kweli, hivi ukiandika xaxa badala ya sasa unakuwa umeokoa nini hapo?

Hakuna mtu mwenye hekima anaweza kukuchukulia serious kwa uandishi huu, na ndio maana huyo dada alikukataa. Kuwa kwanza.
Hamna kitu sipendi kama mtu kuniandikia text anaweka xaxa,txn sipendi jamani
 
Hata ukisoma mapenzi utayakuta tu.
Watu wamesoma sana lkn hawana ajira. Kusoma siku hizi haina maajabu yoyote
Watu wamefungia kabatini vyeti vyao, wanapiga kazi zozote
Bora umwambie atafute pesa kidogo ingeleta maana
Vijana someni, haya mapenzi yapo tu.
 
Acha kuandika upuuzi wako wa xaxa, EBOO!!

Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda xana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!.
Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanlingixhia, wakawa wapenzi, cha ajab walimaliza mwez mzma wakakorofixhana, rafiki yangu akapanga dili na wenzake wawili, kixha akaenda kuyamaliza na girlfriend wake waka-pretend kusamehana!! Rafiki akamvuta dem gheto kixha kaita wale rafk zake wakam collaborate ety amalzie haxira za huyo dem kutokana na vixa walivyofanyiana! Then wakaachana!! Nikawa nawa zoom tu!!
Juz juz yule dem kamtuma rafiki yang flan hv aje aniambie ety ananipenda!! Ety hata kpnd kile nilivyokuw namtaka ety na yy alikuw anantaka ila tu hakutaka kujirahixixha ili nisimchukulie vibaya!! Nilihc haxira za kutaka kujiua!
Siku iliyofuata kamtuma xhost ake aje anieleze, nikamtimua!! Siku mbili baadae kaja mwnyw, kanitoa nyumban kanipeleka xomewhere hv kaanza kujilza xaxa, kaomba mxamaha xana!! Nikikaangalia nakaonea huruma ila nikikumbuka yale majib previously nataman nimnase mabanz ukijumlixha ile collabo xaxa!
Mdogo wake niko nae kwny mahusiano, xema tu hayana hata wiki, nilifnya hvy ili nilipze kixaxi! Ila xaxa ndo kwanza tunaxhibana!!
Naombeni uxhauri!!
Nawasilixha!!
 
Back
Top Bottom