Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha utoto na dharau dogoMmh!! Kumbe na huku wale wenye vi comment vya facebook mpo!!???
Fresh!! Ngojea na mm nikeshe leo nakosoa post za watu, make sio kwa mabango hayo!!
Kwan "s" na "x" kwny social media chats zina utofauti gan!! Wengi wao wanao comment ujnga ni wahaya, sijui kwa nini!! Mie naombeni ushauri, nimchane makavu kuwa niko na mdogo wake ili aache kunizoea au! Kama kuna teacher wa kujitolea kunifundisha matumizi ya s na x apayuke basi!! Dah, nshomile bhana!!!!!
Xaxa, unampenda xana nani xaxa? Mdogo mtu au dada mtu, xaxa hapo xjui ufanye nn xaxa.
xomething ix not right xomewhere.
Hebu soma dogo, achana na mapenzi.
Mapenzi mwachie ngoswe emu komaa na shule kwanza utakuja kunishukuru!Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda sana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!.
Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanilingishia, wakawa wapenzi, cha ajabu walimaliza mwezi mzima wakakorofishana, rafiki yangu akapanga dili na wenzake wawili, kisha akaenda kuyamaliza na girlfriend wake waka-pretend kusamehana!!
Rafiki akamvuta dem gheto kisha kaita wale rafiki zake wakam collaborate ety amalzie hasira za huyo dem kutokana na visa walivyofanyiana! Then wakaachana!! Nikawa nawa zoom tu!!
Juz juz yule dem kamtuma rafiki yang flan hv aje aniambie ety ananipenda!! Ety hata kpnd kile nilivyokuw namtaka ety na yy alikuw anantaka ila tu hakutaka kujirahisisha ili nisimchukulie vibaya!! Nilihc hasra za kutaka kujiua!
Siku iliyofuata kamtuma shost ake aje anieleze, nikamtimua!! Siku mbili baadae kaja mwnyw, kanitoa nyumban kanipeleka somewhere hv kaanza kujilza sasa, kaomba msamaha sana!!
Nikikaangalia nakaonea huruma ila nikikumbuka yale majib previously nataman nimnase mabanz ukijumlixha ile collabo sasa!
Mdogo wake niko nae kwny mahusiano, sema tu hayana hata wiki, nilifnya hvy ili nilipze kisasi! Ila sasa ndo kwanza tunashibana!!
Naombeni ushauri!!
Nawasilisha!!
Duh!! X inamaanisha naenda kusomea jinsi ya kutumia X-ray machine! Wala hata iciwaze!X inamaanisha Nini mana sijaielewa kabisa kazi yake hapo? Au ndo mwangaliaji sana WA porn
"Juz juz yule dem kamtuma rafiki yang flan hv aje aniambie ety ananipenda!! Ety hata kpnd kile nilivyokuw namtaka ety na yy alikuw anantaka ila tu hakutaka kujirahisisha ili nisimchukulie vibaya!! Nilihc hasra za kutaka kujiua!"
Ulitaka kujiua!?[emoji15]