Nilimtongoza akanikataa akaanzisha mahusiano na rafiki yangu, wameachana anadai anahitaji tuwe wapenzi

Avumiliwe tu asee ndo kwanza ana siku tano ndani ya jf
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Xhaxa xixi unataka tukuxhauri nini achana na Huyo mdada fanya mambo yako Kama unampenda xixi hatuna la kukuxhauri hapa Bora na wewe uendelee kumuwaxha Kama wale wengine

Piga mxaxa Arif


Nadanganya wadau?
 
Ulitaka uamue nn mpaka huna uhakika na maamuz yako unatuomba ushauri!? Acha ujinga hakuna dem humo
 
Mmh!! Kumbe na huku wale wenye vi comment vya facebook mpo!!???
Fresh!! Ngojea na mm nikeshe leo nakosoa post za watu, make sio kwa mabango hayo!!
Kwan "s" na "x" kwny social media chats zina utofauti gan!! Wengi wao wanao comment ujnga ni wahaya, sijui kwa nini!! Mie naombeni ushauri, nimchane makavu kuwa niko na mdogo wake ili aache kunizoea au! Kama kuna teacher wa kujitolea kunifundisha matumizi ya s na x apayuke basi!! Dah, nshomile bhana!!!!!
 
Watu walipiga foursome
 
Wewe hii sio fesibuku
 
X inamaanisha Nini mana sijaielewa kabisa kazi yake hapo? Au ndo mwangaliaji sana WA porn
 
daaaa nyie vjna kipnd hik mahusiano yenu hata hayana matukio makubwa yakutisha kma sie nyakat zile za upendo wa kwel,..nyakat zetu ilkuwa mtu ukiomba ushauri yaan kwel lnakuwa tatz ambalo binafs umeshindwa solve, na kwa kipind hik hata washaur wasngeweza solve, sie tulipambana kimya kimya,

this time around vijn hamtak shda wala mahangaiko, mnataka kamserereeeekoooo[emoji23][emoji23] kma huyu mleta thread yaan kwa linakomkuta hakuwa na ssbbu kfungua uzi kujadil am kuomba ushaur kwa jmbo lillo ndan ya uwezo wake, na tyr anamaamuzi binafsi licha ya kutuomba lkn yeye anakijua anachofikil juu ya mtoto wawatu[emoji23][emoji23] [emoji117]''alilia na kutia uruma" proof what you're thinking about that girl[emoji28][emoji28]....smooth heart u hav shown, nothing more u need bt to join her

Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
 
Nmeshindwa kumalizia kuisoma😭
Mtu akini text kwa mtindo huo huwa siwezi kumjibu hata atume text 100...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…