Nilimtongoza akanikataa akaanzisha mahusiano na rafiki yangu, wameachana anadai anahitaji tuwe wapenzi

We Mvulana maliza shule kwanza na hakikisha unasoma dogo,maana una uandishi wa hovyo.


Mwisho acha chai.
 
Nikiona mtu kaandika x badala ya s hata huwa sisomi huo utumbo
 
Xaxa xixi hatujlewa we vp bhn eh ach ujnga we

Xiku ingne uxije tna hp

Pumbavu Sana wewe!!!
 
Acha utoto na dharau dogo
 
Xaxa, unampenda xana nani xaxa? Mdogo mtu au dada mtu, xaxa hapo xjui ufanye nn xaxa.
xomething ix not right xomewhere.

Hebu soma dogo, achana na mapenzi.

Kwa xaxa nixeme nimeupenda uxhauri wako[emoji23]
 
Mapenzi mwachie ngoswe emu komaa na shule kwanza utakuja kunishukuru!

Ivi unapata ujasiri wapi kuandika hapa jukwaani "xaxa" badala ya sasa?,
 
X inamaanisha Nini mana sijaielewa kabisa kazi yake hapo? Au ndo mwangaliaji sana WA porn
Duh!! X inamaanisha naenda kusomea jinsi ya kutumia X-ray machine! Wala hata iciwaze!
 
Huyu anataka kukutumia wewe kumuumiza huyo rafiki yako, kiukweli ni kwamba hajakupendea kwa chochote ni mhuni mmoja tu
 
"Juz juz yule dem kamtuma rafiki yang flan hv aje aniambie ety ananipenda!! Ety hata kpnd kile nilivyokuw namtaka ety na yy alikuw anantaka ila tu hakutaka kujirahisisha ili nisimchukulie vibaya!! Nilihc hasra za kutaka kujiua!"


Ulitaka kujiua!?[emoji15]
 

Usikute ni marehemu tayar
Upumzike kwa amani. Ameen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…