Nilimtongoza mara ya kwanza akawa mkali

Jiangushe kwenye 18,refa afunike tuta.
 
Sheri Kuu imeishiwa mafuta.
Muda wa Vidumu kutumika Sasa.
Ukinielewa kaa chonjo Babu.
 
Mello tunaomba utuweke dubwana la Akili mnemba(AI) 🤣 liwe nyuzi kama hizi mtu akiziweka ndani ya sekunde 5 zimeshafutwa na ban ya miezi 6 juu Automatically 🤣🤣🤣
KUTUJAZIA SERVER BURE SHENZI(In leonardo's voice)🤣 🤣🤣
 
Daah wanawake wanaambiwa mengi eti "dada nina hisia na wewe"? Wtf..!! Waluguru bwana vifupi kama fridge ya aborder,ubishi kama wote, kutongoza totoz kal tatizo.
 
Tunasubiri uzi mwingine wa malalamiko utakayokuja nayo.

Yetu macho.
 
Kacheze mpira.
 
Ongeza bidii ya mazoezi
 
Jikite na mazoezi sana uende ukachezee ligi kuu england
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…