Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
VIPI Shangazi? Nimeachana na mpenzi wangu baada yake kubadilisha ghafla mienendo yake.
Tulipoanza uhusiano wetu, mpenzi wangu alikuwa mwanamke mwenye heshima sana kwangu, lakini wakati fulani alibadilika akaanza kunionyesha madharau na ikabidi nimuache. Sasa anataka turudiane lakini mimi simtaki ninatafuta mwingine.
Ninaomba ushauri wako.