Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

agathaM

Member
Joined
May 24, 2024
Posts
14
Reaction score
25
Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City.

Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam

Asanteni
 
Kunywa maji kwanza utulize stress maana unaandika vitu vya ajabu
 
Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City.

Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam

Asanteni
pole mkuu hao ndio watz ni watu hovyo kbsa unaweza wawekea game ya el classico hapa na Yanga vs Geita au Simba na Mtibwa utakuta wanaangalia NBCPL Hovyo kbsa
 
agathaM kuichukia Yanga kipindi hiki kutakusababishia matatizo mengi, jaribu kwenda na flow. Usijiingize kwenye ushabiki wa mtandaoni, hao unaowaona wanaipinga Yanga ni mtandaoni tu ila mioyoni wana kadi za Yanga. Achana na kina Ahmed Ally, watakuletea ma hedhi ya mfululizo bila kukoma sababu ya stress wakati wenzako nyuma ya pazia wanafurahia Yanga kuwa bingwa

Ujumbe huu kama wewe ni Agatha mwanamke kweli, kama wewe ni mwanaume pokea la nguoni. Asante
 
pole mkuu hao ndio watz ni watu hovyo kbsa unaweza wawekea game ya el classico hapa na Yanga vs Geita au Simba na Mtibwa utakuta wanaangalia NBCPL Hovyo kbsa
Kumbe kuangalia Simba na Geita ni kuwa hovyo!?
Basi hukuangalia game ya Geita na coastal hiyo El classico haifui dafu.
 
Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City.

Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam

Asanteni
Nimecheka sana😁
 
pole mkuu hao ndio watz ni watu hovyo kbsa unaweza wawekea game ya el classico hapa na Yanga vs Geita au Simba na Mtibwa utakuta wanaangalia NBCPL Hovyo kbsa
Hii tabia inakera sana kuna siku nilienda kuangalia EPL na walikuwa na TV zaidi ya 6 lakini watazamaji wameng'ang'ania TV zote zioneshe ligi ya NBC ilitubidi tutumie nguvu nyingi sana hadi wakaweka EPL TV moja.
Baada ya TV kuonesha EPL wakahamia tena kwenye TV yetu kuangalia EPL.Kifupi wabongo hawatabiliki kabisa.
 
Wanatabirika, wabongo ni hovyo kabisa hawa dawf mind wanapenda timu (Uto na Lunyasi Fc) hawapendi mpira/hawajui mpira ndio maana juzi Mayele kasema wachambuzi bongo hawajasoma Kumbuka kauli ya Kocha wa zamani wa Yanga Krimpotich alichowaambia wabongo baada ya kufukuzwa, Patrick Aussems(Uchebe) alichowaambia viongozi Simba utaelewa concept yangu
 
Back
Top Bottom