Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

Kumbe kuangalia Simba na Geita ni kuwa hovyo!?
Basi hukuangalia game ya Geita na coastal hiyo El classico haifui dafu.
Ndio maana nikasema nyie wabongo hamna akili ulivyo mjinga utabisha, yaani Simba na Coastal iwe bora kuliko El classico? Kweli dunia imevaa sidiriašŸ¤”
 
Umevaa sidiria maziwa yasichezecheze na bikini trako limumunyuke
 
Back
Top Bottom