Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

Nilinusurika kubakwa mara mbili na wake za watu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu possibly wangu nae pia watapita nae , ingawa sio ulinzi tosha kwani naweza nisipite na wake za watu na wangu wakampita nae( may God forbid).

Katika nyakati mbili tofauti nimenusurika kubakwa na wake za watu Kwa kisingizio cha kunipenda ( very ridiculous reason for a married woman). Niliingia kingi, nikajua nimeitwa kumsaidia kitu, kufika ndani ghafla mtu kabadilika, kanishika hataki kuniachia na anasema nikikataa anapiga kelele, daa, niliogopa sana mana sikutarajia. Hawa wote waume zao walikua well-off enough, nimechomoka kiMungu Mungu tu, hadi leo nashindwa kujua nini wanakosa katk ndoa zao.

Ushauri wangu kwa vijana, 17-28, ukiona mke wa mtu humuelewi, akikuita sehem ya faragha, mfano chumbani kwa kigezo cha kumsaidia kazi fulani, au akikuambia anaomba umsindikize sehemu fulani usikubali unless kuwe na mtu mwingine
 
Ungereport police matukio yote ya ubakwaji ili upewe msaada kuliko hapa Jf

Ila umewapa funzo vijana wenzako, bila shaka watafanyia kazi haya!
 
Karma haikukwepi kwa sababu unaikwepa bali inakulipa kwa ulichokifanya makusudi.

Inawezekana wewe hujatembea na mke wa mtu lakini mkeo akagongwa sana tu. Karma haimtambui anayeshirikiana na mtenda au mtendewa bali huwachapa sawa sawa watenda.

Wewe hukufanya kimakusudi bali ulilazimishwa, ungegonga.

Sijakushauri lakini.
 
Japo kweli karma IPO ila wanaume kumwacha mwanamke mwenye uhitaji wa msaada wa mapenzi ni upumbavu ambao hata kuzimu huwezi kwenda ukapokelewa.

We kula tu ikitokea na wako akaliwa usipomuona endelea na maisha ukimuona mpige chini.

Mambo mengine ni mepesi saaaaaana tunayafanya kuwa mazito wenyewe.
 
Kumbe mwanume unajiuza, shame on your face
 
Mleta mada hujui maana ya kuwa mwanaume wewe!!
 
Back
Top Bottom