Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana, nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini? Manake huyu naye Kwa kuropoka tu hajambo. Ina maana atamtaja aliyemuua Nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben.
Niliogopa sana, ila nkaja kugundua anazungumzia Kifo. So mimi ni nani, jibu lake ni kifo.
Niliogopa sana, ila nkaja kugundua anazungumzia Kifo. So mimi ni nani, jibu lake ni kifo.