Mbona wamemuuliza wewe ni kifo amekataa?Unajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana,nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini?,manake huyu naye jwa kutoroka tu ,hajambo!!ina maana atamtaja aliyemuua nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben.
Niliogopa sana,ila nkaja kugundua anazungumzia KIFO,SO MIMI NI NANI,JIBU LAKE MIMI NI MAUTI.
Amelipoambiwa wewe ndo kifo bado alikataa na kuuliza yeye ni nani so bado yeye sio mautiUnajua nlikuwa naskiliza huu wimbo kwa machale sana,nikijisemea mhhh sasa anataka kusema nini?,manake huyu naye jwa kutoroka tu ,hajambo!!ina maana atamtaja aliyemuua nyerere ambaye watu wengi huwa tunaamini kuwa ni bwana ben.
Niliogopa sana,ila nkaja kugundua anazungumzia KIFO,SO MIMI NI NANI,JIBU LAKE MIMI NI MAUTI.
Yeye ni ccm[emoji1751]sasa ye ni nani!?
Naskia mama anatembea na kiti kila sehemUkiingia youtube utaona kweny cover ya iyo nyimbo kuna kiti. Kile kiti ndio jibu lenu lipo pale sasa wataalamu wa tafsida watuambie kile kiti kina maana gani?