Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Aliyesamehewa sana upenda zaidi, iko hivo.

Mwana aliyehasi, baada ya kutapanya urithi wake aliporudi kwa baba yake, baba yake alimpa na uongozi (Mamlaka )

Luka 15:21-24
21 Yule mwana akamwambia, Baba, nimekosa juu ya mbingu na mbele yako; sistahili kuitwa mwana wako tena.

22 Lakini baba aliwaambia watumwa wake, Lileteni upesi vazi lililo bora, mkamvike; mtieni na pete kidoleni, na viatu miguuni;

23 mleteni ndama yule aliyenona mkamchinje; nasi tule na kufurahi;

24 kwa kuwa huyu mwanangu alikuwa amekufa, naye amefufuka; alikuwa amepotea, naye ameonekana. Wakaanza kushangilia.
 
Leo asubuhi nilikuuliza swali, Ubena Zomozi ni nani na kwanini ana dislike kila post Yako?
Dah mkuu nikujibu nini sasa hapo!? Kwa mtazamo wangu ni kijana mshindwa aliyepigika kimaisha hivyo ana maumivu mengi na anadhani Mimi ndio sababu ya ufukara wakeπŸ˜€ kwa kufanya hivyo anajaribu kuponya maumivu ya ndani.. In short anapitia hali ngumu sana
 
Nyuzi zako huwa naogopa kuzisoma usiku, huu nitasoma kesho asubuhi mkuu nijifunze zaidiπŸ™πŸΎ
 
Interesting Mkuu. Sasa hicho kiringe ulichokiuza bado kinaendelea?

Halafu kuna jambo fulani nataka tuzungumze though nasita sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nitakucheki next week
 
Binafsi nililijuwa hili siku za nyuma sana kilichokuwa kinanishangaza kwanini unaendelea na mada za Giza?
Leo ndo nimepata jibu.

Bado umebakiza kazi moja,Hii nayo ni process..
..wewe ni mwalimu nategemea hiyo talanta utaifanyia kazi nuruni.
Hiyo nayo ni process.
Nakubali na naheshimu process
Mwalimu Mshana Jr
 


AMEN AMEN AMENπŸ™πŸ™πŸ™
 
Amen πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…