Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

umeokoka vp na bado unatupia picha za wadada wenye misambwanda kule kwenye uzi wa picha za pisi kali
Kama umesoma vema andiko langu nimesema Mimi si mkamilifu....
1751039700247.jpg
 
Dah mkuu nikujibu nini sasa hapo!? Kwa mtazamo wangu ni kijana mshindwa aliyepigika kimaisha hivyo ana maumivu mengi na anadhani Mimi ndio sababu ya ufukara wake😀 kwa kufanya hivyo anajaribu kuponya maumivu ya ndani.. In short anapitia hali ngumu sana
😅😅😅😅😅😅😅😅😅👍🏽
Tajiri Sina BAYA
 
Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, naye Yesu alikuwa amealikwa harusini pamoja na wanafunzi wake. Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!” Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.” Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.” Hapo palikuwa na mitungi sita ya mawe, ambayo kila mmoja uliweza kuchukua kiasi cha madebe mawili au matatu. Ilikuwa imewekwa hapo kufuatana na desturi ya Kiyahudi ya kutawadha. Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.” Mkuu wa karamu alipoonja hayo maji, kumbe yalikuwa yamegeuka kuwa divai. Yeye hakujua ilikotoka, (lakini wale watumishi waliochota maji walijua). Mkuu wa karamu akamwita bwana arusi, akamwambia, “Kila mtu huandaa divai nzuri kwanza hata wakisha tosheka huandaa ile hafifu. Lakini wewe umeiweka divai nzuri mpaka sasa!” Yesu alifanya ishara hii ya kwanza huko Kana, Galilaya
20250615_180934.png
 
mkuu mshana nikupe hongera kwa kuacha hayo mambo ya ulozi,
pili, nikusisitize uzidi kuishi ktk imani na wokovu ulioupata na kamwe usije kurudi ulipotoka

mwisho nikuombe usisite kuendelea kumkiri Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yako, ninaamini ktk hili Mungu anakutumia kuzidi kuwatoa watu wake ktk vifungo vya ulozi..
 
Kwenye Meditation tuwe makini
soma neno la Mungu linagenerate light💡 Wa unapoelekea in spiritual realm
Labda kuhusu neno fulani

Na kosa kama usipo kuwa na Nuru
Giza linachukua nafasi roho za Giza zinamuingilia mtu
Meditation sitaki hata kuisikia kidogo initoe roho.
Wiki mzima nilikuwa kwenye uvuli wa mauti kwa sababu ya hiyo meditation
 
Back
Top Bottom