Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Jana jioni wakati narudi Rock city ndani ya Air Tanzania(hapa kazi tu [emoji23]) nikapewa viburudisho mi nikaona mijuisi ile mizinguo tu nikaomba redwine nikapatiwa ya dodoma wine tukapewa na korosho lakin zile korosho tamu kweli ,nilivyomaliza nikamuomba yule kaka aniongezee akanipa kipakti kimoja kingine maana wine nisingeongezwa [emoji23][emoji23] zilikuwa tamu nitazitafuta niwe natafuna niongeze nguvu za kike[emoji6][emoji6] au sio maana naonaga G ananizidi nguvu kabisa ,safari hii nimepanga mashambulizi nimzidi kwenye game sitaki mchezo [emoji134][emoji134]
Safari yetu ilikuwa nzuri kabisa japo sisi hatukusimama kushangaa nje kama wale wengine wanajijua [emoji23][emoji23],li boeng nimelifurahia utafikiri nilikuwa naenda Dubai mweeee natamani niwe mtalii tu mie ,,kisafari kifupi hata huenjoy sana ila basi tu [emoji57][emoji57] wangetuzungusha na sisi hata mara tatu si kodi zetu bana ,ila yote poa
Nikatua zangu Mwanza nikapita kula samaki kwanza nilikuwa na hamu nazo kweli na kabia ka moja ,jamani nasikia kesho bia inauzwa 1000? Mbona watapata tabu waloshusha bei au ndio bei hiyo itakuwa local bar tu haina nomaa ,samaki nilimmaliza wote peke yangu sinaga mchezo kwenye kula [emoji104][emoji104][emoji105],sasa kama bia buku jamani jamani tutaongezeka kunenepa sisi kama nawaona mnavyochekelea [emoji23][emoji23] ,sikuonana na mwana jf yoyote yule sababu nilikuwa busy na wagonjwa ,sikuwa na muda hata wa kuchungulia pale Element au samaki samaki,ila poa tu yote kheri ,nilikuwa nimemiss kwetu navyopapenda jomoniiii ,,
Safari ikaishia kitandani kwangu nimelala vizuri sana
Karibuni Mwanza.. jiji tulivu la maraha
Mama G