Niliomba niongezewe viburudisho

Niliomba niongezewe viburudisho

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Jana jioni wakati narudi Rock city ndani ya Air Tanzania(hapa kazi tu [emoji23]) nikapewa viburudisho mi nikaona mijuisi ile mizinguo tu nikaomba redwine nikapatiwa ya dodoma wine tukapewa na korosho lakin zile korosho tamu kweli ,nilivyomaliza nikamuomba yule kaka aniongezee akanipa kipakti kimoja kingine maana wine nisingeongezwa [emoji23][emoji23] zilikuwa tamu nitazitafuta niwe natafuna niongeze nguvu za kike[emoji6][emoji6] au sio maana naonaga G ananizidi nguvu kabisa ,safari hii nimepanga mashambulizi nimzidi kwenye game sitaki mchezo [emoji134][emoji134]

Safari yetu ilikuwa nzuri kabisa japo sisi hatukusimama kushangaa nje kama wale wengine wanajijua [emoji23][emoji23],li boeng nimelifurahia utafikiri nilikuwa naenda Dubai mweeee natamani niwe mtalii tu mie ,,kisafari kifupi hata huenjoy sana ila basi tu [emoji57][emoji57] wangetuzungusha na sisi hata mara tatu si kodi zetu bana ,ila yote poa
Nikatua zangu Mwanza nikapita kula samaki kwanza nilikuwa na hamu nazo kweli na kabia ka moja ,jamani nasikia kesho bia inauzwa 1000? Mbona watapata tabu waloshusha bei au ndio bei hiyo itakuwa local bar tu haina nomaa ,samaki nilimmaliza wote peke yangu sinaga mchezo kwenye kula [emoji104][emoji104][emoji105],sasa kama bia buku jamani jamani tutaongezeka kunenepa sisi kama nawaona mnavyochekelea [emoji23][emoji23] ,sikuonana na mwana jf yoyote yule sababu nilikuwa busy na wagonjwa ,sikuwa na muda hata wa kuchungulia pale Element au samaki samaki,ila poa tu yote kheri ,nilikuwa nimemiss kwetu navyopapenda jomoniiii ,,

Safari ikaishia kitandani kwangu nimelala vizuri sana
Karibuni Mwanza.. jiji tulivu la maraha
Mama G
IMG-20180731-WA0018.jpg
IMG-20180731-WA0019.jpg
 
Mimi mwenyewe baada ya wanajf wa Dar kujua nipo Msata kwa Mshana jr hata karibu hakuna watu wa Dar wachoyo sana nakwambia nitakuja Mwanza nienjoy Maisha alafu hizi bia za buku watu walikuwa wanajikojolea kwa vikirikuu vya buku jero si wataharaaaa kabisa kutoka bar mpaka home njia nzima uharishoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha tu watu wa dar ndivyo walivyo ,we ukija mwanza tuchekiane tukanywe bia za buku mpaka tukojoee
 
Acha tu watu wa dar ndivyo walivyo ,we ukija mwanza tuchekiane tukanywe bia za buku mpaka tukojoee
Nikiwa Dom utasikia Demiss wajameni ukuje Dar ukishafika huku hawajibu pm wanaogopa wanakaa Tandale kwa mtogoleee nitawakimbia na kuchekaa wakati wallah mm sina hayo mawazo.
 
Nikiwa Dom utasikia Demiss wajameni ukuje Dar ukishafika huku hawajibu pm wanaogopa wanakaa Tandale kwa mtogoleee nitawakimbia na kuchekaa wakati wallah mm sina hayo mawazo.
Haahahahhaha jamani kina Mzigua90 na Raynavero ,ray alisema atakuja kabisa nilipofikia kwani nilimuonaaa mzigua alikuwa ananiitia bar tu akanilewesheee
 
Back
Top Bottom