Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

Niliona Post humu kuwa Iran ingefunga anga trh 4 - 6. Kiko wapi!

Kwani nchi/jeshi likifunga anga lake unaelewa nini? October 1 irani iliposhambulia Israeli, Iran iliifunga anga lake?

Dogo kuna mambo/madhumuni mengi nchi/jeshi linataka kufanya sio hilo tu ulilolikariri wewe
Sasa mbona mlishangilia sana mkasema kisasi kinakwenda kulipwa. Nashangaa leo umekuwa msemaji wa Serikali ya Tehran
 
Ninyi wote wajinga sana. Mnabishana mambo ya Irani na Israel hamna utaalam wowote wa masuala ya kijeshi na mbinu za kivita.

Hivi mnadhani kushambulia nchi ni sawa na kushambulia ugali dagaa kwa mama lishe?
 
mbona Iran walishasema kua wanasubiri BAADA ya UCHAGUUZI WA marekani na mambo yakae sawa ndo akiwashe au Huwa unafatikiaga habari za upande mmoja tu
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakukumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
Watu wamepigwa panapo uma mitambo yanmafuta imeharibika vibaya usamabazaji wa mafuta umekwama mafuta sasa yameanza kupanda bei mitambo ya silaha nayo imepukutishwa halaf israel wamewaambia kama mnajiweza pigeni yani tutajibu hapohapo na wamewazunguka wanasubiri wafanye fyaa wamalize mchezo....
 
Watu wamepigwa panapo uma mitambo yanmafuta imeharibika vibaya usamabazaji wa mafuta umekwama mafuta sasa yameanza kupanda bei mitambo ya silaha nayo imepukutishwa halaf israel wamewaambia kama mnajiweza pigeni yani tutajibu hapohapo na wamewazunguka wanasubiri wafanye fyaa wamalize mchezo....
Hii umeiokota wapi kinyee
 
Ta
Hujajibu swali.
Unajua lile shambulizi la kujibu kisasi cha nani na nani!?
Lile shambulizi halikua tu kulipiza kisasi cha Nasrallah na kamanda wa Iran bali pia kisasi cha Ismail Haniyeh.
Sasa kaeni kwa kutulia kisasi kitalipwa,askari wanne wafe halafu Iran asifanye kitu!?
Ninyi tulieni.
Tafadhali sana mimi niko Ngara huku sihusiki
 
Israel ndo anamikwara kapelekea ndege 100 kuishambulia Iran kwa makombora elfu 1 alafu kombora moja tu ndo limefanikiwa kutungua embe.

Tulia uone operation true promise 3 ya Iran utashuhudia makombora yakitua pale Tel aviv live bila chenga siyo yale makombora ya Israel yasiyoonekana wala kuleta madhara
Hawa wafuasi wamkosa nyumba wanaota wako njia panda kama roll model wao, wanadhani Iran akisema anafunga anga ndio time hio atashambulia 😄

Hawajui kwenye Military Strategy unazuia adui asipenye kwenda kuchunguza Missiles na drones zinatokea kwenye area gani? Na pia kusafirisha Missiles kuzipeleka kwenye sehemu tofouti. Tabu sana humu mnajua huyu muliza swali ndio yule yule wa majina 30+ 😄 🤣 Mimi namgundua kwa zile foot print zake tu, daima kichaa huchelewi kumnasa.
 
Kazi mnayo watetezi wa mabwabwa

7BDB31E7-1848-47A9-819A-D815B3E3FC03.png
 
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia.

Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja.

Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za Kareti
kaa hapo hifadhi uzi wako...
 
Inatestiwa satellite iliyopandishwa
Juzi saivi kitu kinauwezo wa kutua Washington DC yaani popote ulipo Ayatollah anakuijia wenye wivu wake Kwa kutulia


— ❗️🇮🇷 BREAKING: A single missile is seen being launched from vincinity of Shahrud, north eastern Iran

It could be a missile test, some have alleged that Iran is testing an ICBM. It could also be a satellite launch, from the Shahrud Space Center which is located here.

@Middle_East_Spectator
 

'You are not welcome here,' Qatar tells Hamas - report​

 
Napendezwa Sana na jinsi hizbollah wanavyofight level ya focus Iko juu mno kiasi kwamba
-they don't care uwezo wa adui.
  • they don't care the intensity ya attacks za adui.
  • they don't move away from formation.
-they don't defend what is not much necessary.
-they keep attacking even if an enemy Is attacking.
they produce in details information of every oparation at hours and minutes.
-They produce live coverage of their oparation even if enemies are very near to them
-they have collected and documented all military sites and camps facilities even movement of solders to private settler also recognized and they are now blowing settlements which idf temporarily hides to escape from their baracks
-They have few Air defence projectiles but they use them when they attacks but not when they defend just amazing
- they like face to face combat and few of them can finish more than 12 solders even if their 2 of them
--They enjoy fighting
- they still promise Nasrallah Victory and even send massage to him every day
-Hzbollah are very calm and strong mentally than idf they lost all leaders but they still very aggressive
To be continued
 
🟡 Report | Hezbollah estimates that 1,965 houses were completely destroyed while another 6,653 were damaged in Beqaa:

They also confirm they have dedicated 6,000 volunteers to help the displaced and have so far provided 180,000 food aid parcel.

They also have provided 5,000 heating systems, 10,000 gas cans, and 80,000 winter sheets.

They also offered or provided:
  • 932 mental support
  • 14,632 health support
  • 159,352 medicine and drug
  • 28,500 infant milk
  • and about 80,000 medical service

This is for Beqaa region only. Hezbollah doesn't share photos of aid to people, that's why you don't see this on social media.

🔹@enemywatch
 
Back
Top Bottom