THE SHADOW ONE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,201
- 1,974
Uliwahi kubebeshwa nini ?๐ Binafsi nimewahi ๐๐Ha haaaa..gridi Bwana noma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwahi kubebeshwa nini ?๐ Binafsi nimewahi ๐๐Ha haaaa..gridi Bwana noma sana
Eeeh na wewe tayari๐๐๐waja hawakosi nenoUliwahi kubebeshwa nini ?๐ Binafsi nimewahi ๐๐
Anasemwa marehemu ๐๐๐. Yangu ilitengenezwa demu nilipita naye sasa nataka kuhamia kwa mzuri zaidi yake zikaja tetesi. Kizazaa kikaanzia hapo.Eeeh na wewe tayari๐๐๐waja hawakosi neno
Ishi Campaign ilikuwepo kweli,nakumbuka tulipewa Dili la kuinterview vijana hasa kwenye viwanja vya SOKA hasa ndondo.Makurumla na shamba la Bibi tulienda.Akili ndogo hata hili nalo hadi kulipeleka Jamii inteligence ndi waelewe? Miaka 20 iliyopita ndio story ilipoanzia, mpenzi wangu alikufa miaka 6 baadae. mwaka 2005 na kabla ya hapo nakumbuka kabisa vipimo vya HIV vilikuwepo japokuwa havikuruhusiwa kutoka kiholela lakini kama ulikuwa na connection ilikuwa rahisi sana kuvipata.
Sikulaumu inawezekana miaka hiyo ulikuwa mtoto sana au haukuwa na uelewa na lolote kuhusu elimu ya UKIMWI lakini kama ni mtu mzima utakumbuka kabisa miaka hiyo AMREF imefanya sana shughuli hizi na pia kulikuwa na program maarufu sana iliitwa Ishi Campaign hii ilikuwa maeneo ya mijini sana kila mkoa. Wakati wewe ulikuwa Sigimbi mwenzako nilikuwa mjini na connection na vijana wa Ishi campaign ๐
Ni kama unaelezea maisha yangu vile.Kwenye simu na Ishi Campaign lakini siyo issue za ukimwi.Nilienda kupima Muhimbili nilipoambiwa Sina nilifurahi Sana.Nilitembea kwa mguu hadi baharini hukoo.Kwani nyie mna umri gani hadi mshangae hili?!
Mwaka 2001 rafiki yangu wa karibu sana kwa mara ya kwanza anakatiwa ticket ya ndege kwenda Dar kuhudhuria semina ya Ishi campaign. Aliporudi miaka michache baadae walianza event mbalimbali mitaani, vyuoni na mashuleni walikuwa wakifanya seminars, voluntary counseling and testing mitaani sio hospitalini.
Kuhusu simu..... hadi naona aibu kuongea hili labda niwaulize mmeanza kutumia simu lini? Mwenzenu simu ya kwanza ilikuwa Philips savvy, baadae nikanunua kwa pesa yangu Simens tuliita dole gumba na simu ya maana kwa wakati huo nilianza na Nokia 3310 simu zote hizi zilikuwa na meseji na tulikuwa tukitumiana sana tu lakini hatukuwa tukiita chat (sidhani kama hili ni muhimu maana story nimeiandika sasa) . Mwaka 2002 nilipoishi mtandao wa Mobitel ulikuwa umeanza huduma vocha zilizokuwepo ni za 5,000 na 10,000 tu baadae voda walipokuja wakaja na vocha za Alphatel za buku mbili tulikuwa tunachana karatasi mbili zilizoungana ndani unakutana na namba za vocha.
Kwani nyie mmeanza kutumia simu lini? Nsijekuwa napoteza muda wangu kuelimisha vijana wa Kikwete habari za Mwinyi!!
Alafu kuna kitu mnashindwa kuelewa hapa, nimeandika kisa kilianza miaka 20 iliyopita na mpenzi wangu tuliyedumu nae miaka mingi na baadae alifariki na baada ya hapo ndio kisa cha huyu binti wa pili kilitokea. Kwa kumbukumbu zangu ilikuwa mwaka 2007 wakati huo mwenzenu sio mtoto na simu nimeshatumia miaka kadhaa nyuma.
Lakini mwisho hii tabia ya kupingapinga kila kitu ni hulka ya mtu hata ningekupa vigezo vipi bado kama una roho ya kupinga utatafuta swali na hoja ili uendelee kupinga tu, lengo langu ni kufikisha ujumbe kama kuna wachache wameelewa inatosha ujumbe umefika wala sina lengo la kupata huruma au mchango wa mtu maana hayo yalishapita sasaivi nakula raha na familia yangu mke tayari ninae watoto ninao sijui nataka nini tena kwenu mnaonibeza.
Wakijibu nistue nipo paleee[emoji117][emoji117][emoji117]Kwani hawa wameanza kutumia simu lini [emoji3][emoji3]
Mzee Machache alilazimika kupima na akaonyesha vyeti vyake kwenye taarifa ya habari ya Saa mbili usiku.Kifuatacho ITV.ITV DAIMA.Huu uvumi simple sana kuusolve
Kama wa vyeti feki
Mtu akikusema unamtumia cheti chako cha HIV Negative
Na msg ya 'Mnikome'..simple
Hata wawili au wa3
Watasambaziana wenyewe chaap sana
Hahahaha, nakumbuka kipindi nikiwa chuo mwaka wa mwisho medicine, nilirudi kukaa hostel, siku moja nimetoka kumla madam wangu, nikakuta kopo la HIV, juu ya kitanda changu ..TLE. na karatasi inasema Tumia dawa utakufa kijana. Nikauliza nani kaweka kopo hili? Eeeh nilichekwaa wakasema ni demu wa mshikaji wangu , katoka rotation huko wodin kaja na hilo kopo...kasema tumia dawa utafakufa mapema.Huu uvumi simple sana kuusolve
Kama wa vyeti feki
Mtu akikusema unamtumia cheti chako cha HIV Negative
Na msg ya 'Mnikome'..simple
Hata wawili au wa3
Watasambaziana wenyewe chaap sana
Mpwayungu village ana UMEME.tutamuandama hadi aje kumaliza hadi5hi yetu.Juzi nilimwambia kwamba ndugu yake wa Sanze kafariki aje kwenye msiba Kiluvya,akagoma.Na kuna yule mzee wa safari ya Lindi, namlia racket tuu
Mwaka gani huoHahahaha, nakumbuka kipindi nikiwa chuo mwaka wa mwisho medicine, nilirudi kukaa hostel, siku moja nimetoka kumla madam wangu, nikakuta kopo la HIV, juu ya kitanda changu ..TLE. na karatasi inasema Tumia dawa utakufa kijana. Nikauliza nani kaweka kopo hili? Eeeh nilichekwaa wakasema ni demu wa mshikaji wangu , katoka rotation huko wodin kaja na hilo kopo...kasema tumia dawa utafakufa mapema.
Nikamfata nikamuuliza, kwann unafanya hivyo? Akasema kwani ww hujioni ulivyokondeana na midomo kukauka? Msuli wa masomo ulikuwa moto sana, supervisors wangu walikuwa ni balaaa, unadisco dakika tu. Nikamwambia ntakuzibua mpumbavu ww, kunihisi hisi tu, nikaenda wodini kuchukua kipimo kikubwa Unigold, nikamwambia njoo unipime mwenyewe... Akanikuta Negative, nkamwambia leo utanikoma, nkamlamba vibao, nkaanza kumvua nguo , nikamwambia nakulala hadharani na ww udhalilike....mbona watu wakuja kunishika.... hahahaha watu wakauliza ulitaka kufanya nn? Nikawajibu kipindi ananidhalilisha nyie mlikuwa mnafurahi tu.
Toka siku hiyo watu waliacha mazoea ya kipuuzi na mm, na mshikaji wa huyo demu tulikosana kabisa, basi chuoni ikawa trend story, had dean akajua na kuniuliza, akatushauri kila mmoja kwa wakati wake. Nilijisafisha kwenye hiyo scandal kwa mtindo huo
Wallah nimecheka sanaDoa la ukimwi likishakuangukia uwa HALITAKATI kamwe.
Bro wangu(sina udugu nae). Hadi leo kakubali yaishe na kapata single mama mmoja alieziba maskio na leo wanaishi.
Back then akapata kadada chap akakaslimisha mipango ya mahari ikafanyika chap. Siku 3 nyuma ya kupeleka mahari baba mkwe akamuita akamwambia:, mkwe 1/2/3.
Nasikia unatumia Dozi. jamaa akakanusha,akasema story isiwe ndefu twenden hospital kupima.
Baba bint akakubali, jamaa akarudi nyumbani kesho yake arudi kwa ajili ya vipimo.
Jion yake akapokea ujumbe, baba bint anasema vipimo vifanyikie mbali na mji(wilaya) waliyopo. Madaktar wengi waliopo ndani ya huo mji wanafahamiana na jamaa so uenda wakatoa majibu ya uongo ili kumlinda.
Jamaaa akasema si shida ni jambo dogo tu ilo,twenden wilayani. Asubuhi ilipofika akawapigia simu hawapokei. Makubaliano ilikuwa ni kukutana saa 3 asubuhi kwa ajili ya kwenda hospital lakin sasa simu hawapokei.
Wakati akiwa anatafakari ujumbe ukaingia unasema:, WATU WAMETUAMBIA MTU MWENYE VIRUSI VYA UKIMWI AKINYWA COKE VIRUSI UPOTEA KWA MUDA.
MKWE TUNAOMBA SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIOUPATA SISI TUMEGHAILI.