Nilionja machungu ya kuwa HIV+, unyanyapaa ni unyama

Lkn nilicho gundua ktk haya mambo ya kusingiziwa!! watu watacheka saaanaa na kukunyanya paa sometimes hata usijue kinacho endelea kuhusu hayo Maisha yako!!…...Tizama Maajabu ya Mungu ni kuwa

wale woote walo kunyanya paa ni kama walijua kuwa wao ndo wana ukimwi!! sababu wamekufa wooote kwa ukimwi huo huo! wengine hata mabinti zao lkn weye unadunda kitaa na mkeo!

Nacho sema hapa,kwa tafiti zangu rasmi mtu yeyote ukipakaziwa ''ujue mara nyingi mna/una maisha marefuuu mnoooooo!!
 
Doa la ukimwi likishakuangukia uwa HALITAKATI kamwe.

Bro wangu(sina udugu nae). Hadi leo kakubali yaishe na kapata single mama mmoja alieziba maskio na leo wanaishi.

Back then akapata kadada chap akakaslimisha mipango ya mahari ikafanyika chap. Siku 3 nyuma ya kupeleka mahari baba mkwe akamuita akamwambia:, mkwe 1/2/3.

Nasikia unatumia Dozi. jamaa akakanusha,akasema story isiwe ndefu twenden hospital kupima.
Baba bint akakubali, jamaa akarudi nyumbani kesho yake arudi kwa ajili ya vipimo.

Jion yake akapokea ujumbe, baba bint anasema vipimo vifanyikie mbali na mji(wilaya) waliyopo. Madaktar wengi waliopo ndani ya huo mji wanafahamiana na jamaa so uenda wakatoa majibu ya uongo ili kumlinda.

Jamaaa akasema si shida ni jambo dogo tu ilo,twenden wilayani. Asubuhi ilipofika akawapigia simu hawapokei. Makubaliano ilikuwa ni kukutana saa 3 asubuhi kwa ajili ya kwenda hospital lakin sasa simu hawapokei.

Wakati akiwa anatafakari ujumbe ukaingia unasema:, WATU WAMETUAMBIA MTU MWENYE VIRUSI VYA UKIMWI AKINYWA COKE VIRUSI UPOTEA KWA MUDA.

MKWE TUNAOMBA SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIOUPATA SISI TUMEGHAILI.
Nimecheka sana hapo mwisho…
 
Mi jamaa yangu aliambiwa mtu akinywa panadol virusi vinajificha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unyanyapaa sio unyama. Tuache utani. Tujihadhari na magonjwa yote ya kuambukiza.
 
Hizi stories za kutunga muwe mnapeleka jukwaa husika. 2000 kulikuwa na vipimo vya kuleta room kwako ukajipime mwenyewe? Matron wa shule gani alikuwa na simu mobile miaka hiyo? Hizi fix msiwe mnaleta bila kujipanga.
 
Hao wote wanatakiwa waje waishi Mbeya, Iringa, Njombe wakati nipo Dar nilikuwa naona ukimw kitu cha ajabu ila nilipofika Mbeya nilipoenda Chunya, Mbarali (ubaruku, kapunga) aisee ukimw ni kitu cha kawaida sana yaan watu hawana ata hofu nayo wanakwambia kabisa "ngoja nikachukue dawa niende porini nikafuate mzigo".
Chunya ni noma,wamechukulia poa Sana ukimwi halafu ukipita kila Kona unakutana na malipo ya dawa halafu wanaishi kwa amani kabisa,wamekubali Hali hivyo wanaishi bila wasiwasi
 
Back
Top Bottom