Nilipanga mwaka huu nijiunge na siasa lakini Nimeghairisha mpango


Unachoshindwa kuelewa ni kuwa sio kila mtu akiwa na hasira anakuwa na kigugumizi.

Na wale sio kila mtu akiongea haraka haraka anakuwa na hicho kigugumizi.
Inategemea na kigugumizi chake kipo katika kiwango gani.

Kwa mtu ambaye anakigugumizi kikali yeye muda wote lazima agugume.
Lakini wapo Watu unaowaona hawana vigugumizi lakini wanachuo sema vipo katika kiwango cha chini. Na hapo ndipo visababishi kama hasira, hofu, stress, kuongea haraka haraka kunakotokana na hofu, kunakidhihirisha hicho kigugumizi.

Wapi tunapishana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…