Wewe kuwa mwananchi kama mimi, yeyote akizingua unamchana!![emoji3][emoji3][emoji3] mi sio CCM bwana, bali nasapoti wagombea wao kwasababu nyie chadema mmeshindwa kusimamisha mgombea anae eleweka.
Mimi ni mwananchi mkuu...sipo kisiasaWewe kuwa mwananchi kama mimi, yeyote akizingua unamchana!!
Sisi wananchi tuna mahitaji yetu ambayo ni tofauti kabisa na ya wanasiasa.
πππππππππππVp tigo waliiacha salama mkuu?
Wamesalitiwa wana hasiraSema raia mnajadili mtu kwa historia yake badala ya madhila aliyopata katika kutimiza majukumu yake. Halafu kuhama chama isiwe ugomvi na kutengeneza chuki, lichukuliwe kama chaguo la mtu. Kwa hiyo, mambo ya vyama yasitugawe kabisa.
Hahahhahahaaahhaaha nakufa mieEh,hiyo ikulu ilinajisiwa sana na mwendazake.
Mwisho wa siku wote wapo kijiwe kimoja.