Nilipata maambukizi ya 'gono' wiki chache zilizopita, nimetumia dawa ila zimedunda. Naombeni mawazo yenu

Pole Mkuu kwa maradhi yako ya gono nitafute mimi ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Kwa hilo gono hatari ambalo umetumia hizo strong antibiotics lakini hamna tu.Jaribu kuvunq hili kombora kama linapatikana kwenye mazingira yako.Huwa ni mchanganyo wa mimea sita,lakini kulingana na mazingira zingine ni vigumu kupata.
1.Mizizi ya makalekale(Mibono)
2.Mizizi ya papai dume
3.Mizizi ya katani ndogo(siyo zile katani kubwa)
Andaa mizizi hiyo kwa uwiano sawa na uchemshe kwa pamoja.Kunywa kikombe kidogo cha chai(250ml) kila baada ya masaa sita kwa siku tano mfululizo.
Angalizo:Baada ya kutumia utahisi kuhara mara kadhaa,lakini usijali ndiyo tiba yenyewe.
 
MKuu kuvuja kumepungua kabisa na boksa sichafui labda nikiminya uume kwa mbele ndio vinatoka vitu kama mkojo ila saiv sichafuki mara kwa mara sema leo asubuh nlivyoamka ndio niliona uchafu kama usaha kidogo hapo ndio nikapata presha tena
Dogo acha wenge ushapona uwa iko hivyo usaha unaenda unakata kidogo kidogo
 
Nenda hospital watakupina vizuri
 
Oyaa kama umepona sema nkupeleke chimbo la watoto wasafiii ..hata ukipata ugonjwa hautokua sugu ..ni pisi kali hata uti zao ziko romantic
 
Sorry kwa kuingilia thread... Hivi huyu jamaa kwenye picha ni anatumia uchawi au?
 

Attachments

  • Screenshot_20240720-142659.jpg
    402.5 KB · Views: 8
Oyaa kama umepona sema nkupeleke chimbo la watoto wasafiii ..hata ukipata ugonjwa hautokua sugu ..ni pisi kali hata uti zao ziko romantic
Linapatikana wapi hilo mkuu
 
Dogo acha wenge ushapona uwa iko hivyo usaha unaenda unakata kidogo kidogo
Na yale maji maji japo ayatoki tena kama mwanzo ila ukiminya kichwa cha uuume ndio yanatoka kidogo c mengi pia yanaweza kukata baada ya muda gani
 
Umetumia dawa bila kwenda kwa daktati, vijana mtaumia hivyo vipenseli vyenu kijinga.
 
Kmmk huu Uzi kila mtu Daktari na anatoa maelekezo yake,...mtamuua huyu Mwamba kwa stress maana hajui afuate ushauri wa nani. Pole sana Mkuu, nenda hospital kubwa na nzuri kwa matibabu na ushauri wa kitaalamu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…