Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa nini unamfundisha tiba mzinzi kirahisi tu?Muache kwanza ajifunze.Regime ya Gono ni
Azithromycin 1gm stat
Cefixime 400mg stat
Kisha waambie wakuchome ceftriaxone salbactam 1gm stat,
Usipopona njoo nikulipe pesa yako mbezi mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itakuwa ni ile Gono BRT ya Kenya
pole sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulitupilia mbali kadi ya chama kwa mbwembwe, ona sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtaani wananiita hanisi kwakuwa hawajawahi niona na demu
wao kila siku naona maboksi ya Azuma yakitupwa pembeni
Utatombwaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sitoombi tena
HHahaha nayo point,Kwa nini unamfundisha tiba mzinzi kirahisi tu?Muache kwanza ajifunze.
Una kawaida ya kwenda mbele na nyuma?Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
hivi kuna satu wasomi na waelewa kabisa wapo hadi humu jf ila wanapata gono? acheni uzinzi. hapo kama haujazaa kuna hatihati kizazi kimeshavurugwa. si ulikuwa unakojoa usaha, unafikiri kama sio uharibifu huko ndani nini?Nilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
Huu ushauri mzuri ufanyie kazi.Zingatia Kumtibia au hata kumpa taarifa huyo alokuambukiza kama unamfahamu.Njia Pekee y Kupambana naMagonjwa ya Zinaa kama Gono ni Kujitibu Pamoja na Mwenzi wako ili kusitisha Usambaaji wake.Ukimuacha aendelee kuusambaza unaweza kuja kukutana nao kwa mtu mwingine au hata ukaukuta nyumbani kwako.Pole sana mkuu, Kuna mambo kadhaa ninayofikiria.
Kwanza zipite angalau siku saba au siku kumi ndio utaweza kujua kama dawa ilifanya kazi au vinginevyo. Hizo dalili zinachukua muda kuondoka.
Pili inawezekana pia product ya Alcef ceftriaxone ni ya kiwango cha chini hasa katika ubora wake ukilinganisha na product kama Power safe ceftriaxone (sababu hata bei zake zinatofautiana).
Tatu Kuna changamoto ya usugu wa antibiotics siku hizi na kupelekea dawa kushindwa kufanya kazi kwa ufanisi wa kimatibabu na kuleta matokeo chanya. Inasababishwa na matumizi yasiyo lazima au sahihi ya antibiotics.
Mwisho ila sio kwa umuhimu kama unamfahamu huyo uliyemkojolea itapendeza kama ukamshauri na kugharimia matibabu yake ili na yeye akapime na kutibiwa apone pia.
Dawa siyo chumvi au sukari haikolei haraka inachukua muda kufanya kazi uwe mvumilivu.
Mkuu, mshikaji gani huyo?Kinafochata utaoza na kukatika Kama ule mshikaji wangu😭😭😭😭😭 jaribu hospital kubwa wakuchome Noxon 😭😭nikikumbuka yule jamaa angu dah vijana achen 😭😭😭😭😭😭😭😭
Kakatika uume au?Kinafochata utaoza na kukatika Kama ule mshikaji wangu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] jaribu hospital kubwa wakuchome Noxon [emoji24][emoji24]nikikumbuka yule jamaa angu dah vijana achen [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
nakuurumia saizi kuna magonjwa mengi ya ngono hayaibiki kisa usugu wa dawaNilipata maambukizi ya gono wiki chache zilizopita nakaenda kupima nikaandikiwa sindano 5 za Alcef Ceftriaxone injection 1000mg pamoja na vidonge vya Metronidazole vya kumeza kwa wiki moja.
Ni kwamba siskii maumivu yoyote wakati wa kukojoa ila ishu ni kuwa uume unakuwa unatoa vimaji maji mara zote unapokuwa unajaribu kuukamua kwenye kichwa, na kutoa vitu kama usaha mara moja moja sana hasa wakati wa asubuhi unapoamka kwenda maliwatoni.
Sasa baada ya kutokuona mafanikio ya hizo dawa bac nilienda hospitali nyingine nikamuona daktari akaniambia hapo ni vema sasa uchome sindano moja tu ya power self itamaliza tatzo lako pia akaniandikia na vidonge aina ya Doxy nitumie ili nikae sawa.
Bac nikalipia hizo gharama nikachomwa hiyo power self na vidonge nikaanza kumeza hiyo ilikuwa jumanne ya wiki hii lakini mpaka leo bado sijaona mafanikio yoyote.
Leo nikampigia huyo daktari simu nikamueleza nayeye akashangaa ni kwanini powerself na doxy kudunda jambo ambalo si kawaida sasa wakuu hapa nifanye kitu gani maana nimeshachoka kutumia pesa kwa jambo lisilo na mafanikio.
Naombeni mawazo yenu viongozi hali ni mbaya sana.
Na tujiadhali tuache ngono zembe mimi kilichinikuta haki Mungu anisamehe sirudii tena
nyie watz mtamuua mtuTafuta hii dawa ya moxi 50%
Ni ya ng'ombe lakini utanishukuru baadae.
NB, UKIDUNGWA SINDANO JIANDAE KUTAPIKAView attachment 3046144
Kuliko mtu aguse kijambio changu bora tuuane, yaani kijambio changu kitanuliwe kama pulizo hapana aiseeUtatombwaaa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dooh...!! Jf ni burudani ya kutosha!!Una kawaida ya kwenda mbele na nyuma?
ushauri wa kitaalamu kabisaMkuu,
Kwanza, pole sana kwa changamoto yako. Vizuri umetambua kuwa afya yako ni muhimu na hutorudia kuparamia. Chukua tahadhari.
Pili, Alcef na powercef zote ni dawa moja. Kiambata kilichopo ni Ceftriaxone. Daktari wako wa pili sikuona haja ya kukuandikia tena powecef endapo tu ulishadungwa alcef. Ila kwa kuwa haina athari, basi si mjadala wa maana. Au pengine, kwa kuwa ulitumia muda mrefu kidogo, akaona vema akuandikie.
Tatu, umesema dawa umetumia Jumanne. Maana yake leo ndiyo siku ya tatu. Unataka matokeo ya haraka mno ndugu. Ufanisi wa dawa kuleta matokeo ya haraka hutegemea sana ukali wa kimelea, reaction ya mwili kwa dawa na usugu wa kimelea chako.
Siku tatu ni chache sana kukata tamaa juu ya ufanisi wa dawa. Kama husikii maumivu, kilichobaki ni usaha tu basi kuwa na subra Mkuu. Mategemeo siku 5 na kuendelea.
Nne, kama una wasiwasi sana inakupasa urudi kufanya kipimo upya. Ijulikane aina ya bakteria na sensitivity yao. Ili kuweza kujua dawa gani italeta matokeo kwa haraka.
Tano, kuwa mtulivu. Kama umeshaenda kupata dawa basi tulia tumia dozi vizuri ukisubiri matokeo. Usiwe na pupa ya kurukia kila dawa. Hapo pengine unapanga kwenda kwa mtaalam mwingine. Hebu vuta muda ukisubiri kidogo.
Nakutakia uponyaji mwema.