mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Pesa ni pesa inategemea unaitumiajeHakuna kitu utafanya upate maendeleo na fedha za aina hiyo maana ni za haramu. Hukuzifanyia kazi wala chochote halafu unatarajia Mwenyezi Mungu azibariki? Kamari imekatazwa tangu enzi na enzi.
We na akili yako tu
Ila isiwe tu pesa ya kuua au kupora
Ova