MtoMsimbazi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 1,800
- 3,091
Weka picha ya mkeka tuujue ni kweli kabla ya kuanza commentsHivi wadau betting inauchawi au maana nilipata million 50 nikaanza Kila siku kuitumia nimekuja kushtuka Nina milioni 1 sasa hivi aisee ni msala sijui majini nishaurini maana Mimi kazi yangu ni betting kusema ukweli Mimi nakuaga na bahati ila sasa matumizi yangu ni ovyo wanawake ndio wangu bia nashindwa hata kukaa na pesa ila kazi yangu ni kubeti nishajiapiza hivyo mpaka nazeeka labda kampuni zifungiwe.