Nilipata milioni 50 kwenye betting zimepotea zote

Hakuna kitu utafanya upate maendeleo na fedha za aina hiyo maana ni za haramu. Hukuzifanyia kazi wala chochote halafu unatarajia Mwenyezi Mungu azibariki? Kamari imekatazwa tangu enzi na enzi.
Pesa ni pesa inategemea unaitumiaje
We na akili yako tu
Ila isiwe tu pesa ya kuua au kupora

Ova
 
Mzalendo mmoja alishinda hizo betting akanunua mchanga wa kutosha,matofali pamoja na mawe ambacho hakupeleka ni cement akawa ameacha balance kidogo ili aendelee kucheza apate ya kununulia cement kwani mhindi analiwa baadae akauza trip za jiwe zote akakaa akawapeleka madarali wa matofali umebaki mchanga ukimkumbushia ishu ya ujenzi mkali balaa...muhindi ni kiboko
 
Kamali inauraibu na kukuaminisha kuwa na kesho utapata.
Wengi wanaopata pesa kwenye kamali huzichezea tu.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€aisee kanji hazoelekiii
 
...Tukushauri Nini Sasa na Hela Zote umezimaliza!!
Mbona ulipokuwa nazo hukutaka Ushauri??
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ kuna utofauti mkubwa sana kati ya mtu mwenye pesa na masikini mwenye pesa
 
on the one and two...
 
Badili mindset, hakuna uchawi wala majini kwenye matumizi ya pesa.
 

on the one and two...
Tafuta hela
 
Pole sana mkuu
 
UKipata pesa kupitia betting usipo shutuka inakuramba tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…