Nilipata milioni 50 kwenye betting zimepotea zote

Weka picha ya mkeka tuujue ni kweli kabla ya kuanza comments
 
πŸ˜‚ muhindi ukipanga yeye anapangua
 
Chief Godlove vipi group lako la WhatsApp bado lipo?
 
Waswahili walisema "Mali bila daftari, hupotea bila habari".

Halafu milioni 50 si pesa nyingi hiivyo.
 
Ndo maana uko desperate unatukana watu huku...kumbe dishi lishayumba.....hakuna tajir anaebet...tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…