Nilipigiwa simu na namba ngeni akachelewa kuongea, nikamshambulia kwa matusi sikujua kama ni mzazi wangu

Nilipigiwa simu na namba ngeni akachelewa kuongea, nikamshambulia kwa matusi sikujua kama ni mzazi wangu

THE BEEKEEPER

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2024
Posts
1,462
Reaction score
7,157
Inakuaje Jf;

Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.

Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa nashangaa hii namba ni kasajili laini ya tatu au kaazima.

Napiga Namba zake zote hapokei ushauri.🇹🇿
 
Mkuu mbona mwenyewe Leo nimepigiwa na Namba ngeni, kuongea nashangaa mtu haongei nikasema hallo ×3, Kuona Bado haongei nikakata. Hilo ndo suruhisho safi.

Sasa wewe hapo Fanya ongea na Bimkubwa kama yupo naye mweleze situation ilivyokuwa, then mwambie akuombee msamaha kwa Mzee. Nama hayuko nae karibu basi mtumie sms Mzee ya kumuomba msamaha.
 
# ROCA FELLA

TUMA UJUMBE KWA BABA YAKO MWAMBIE AKUSAMEHE KWANI KUNA MTU MLIKUWA MNAZINGUANA AKATUMIA NAMBA NGENI KUKUPIGIA,

KWA ADABU ZAIDI UNAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA BABA YAKO UKAMWOMBE MSAMAHA NAAMINI ATAKUSAMEHE KWA SABABU ANAKUPENDA MWANAO HAKIKA MUNGU MTUKUFU AKUSAIDIE KATIKA HILO.
 
Kuna shida ya mtandao unaweza mpigia mtu simu au ukapigiwa usisikie chochote, either yeye akawa anakusikia wewe usimsikie au vice versa. Umekosa busara, halafu baadae umalize chuo hata kazi ukose ulalame. Rudi kamuombe radhi mzee wako
 
# ROCA FELLA

TUMA UJUMBE KWA BABA YAKO MWAMBIE AKUSAMEHE KWANI KUNA MTU MLIKUWA MNAZINGUANA AKATUMIA NAMBA NGENI KUKUPIGIA,

KWA ADABU ZAIDI UNAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA BABA YAKO UKAMWOMBE MSAMAHA NAAMINI ATAKUSAMEHE KWA SABABU ANAKUPENDA MWANAO HAKIKA MUNGU MTUKUFU AKUSAIDIE KATIKA HILO.
Umemshauri vizuri mpaka nimeku zoom[emoji41]

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Inakuaje Jf;

Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.

Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa nashangaa hii namba ni kasajili laini ya tatu au kaazima.

Napiga Namba zake zote hapokei ushauri.🇹🇿
1. Ulichofanya ni kitu kibaya sana. Na, kwa upande mwingine, unemfikishia ujumbe kuwa alifeli katika malezi yako. Hakuna uhalali wa kutukana hata kama hukujua ni nani aliyekuwa akikupigia

2. Mtafute mtu wa karibu yake wanayeheshimisna sana, halafu umweleze scenario nzima na kisha uombe msamaha na umwombe akakuombee msamaha kwa baba yako. Unaweza ukamtuma mtu yeyote wanayeheshimiana naye, labda ndugu yake au rafiki yake.
 
Ila mzee wako nae ana stress,,sikubaliana na ujinga wako,,,lkn kama hiyo ni namba ngeni inamaana hukujua kama ni baba yako,ningemuelewa baba yako kama ungetukana kupitia namba yake
Ni sahihi wengine kutukanwa?
 
Back
Top Bottom