Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inakuaje Jf;
Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.
Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa nashangaa hii namba ni kasajili laini ya tatu au kaazima.
Napiga Namba zake zote hapokei ushauri.🇹🇿
AiseeInakuaje Jf;

🤔🤔🤔Inakuaje Jf;

👏👏👏# ROCA FELLA
TUMA UJUMBE KWA BABA YAKO MWAMBIE AKUSAMEHE KWANI KUNA MTU MLIKUWA MNAZINGUANA AKATUMIA NAMBA NGENI KUKUPIGIA,
KWA ADABU ZAIDI UNAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA BABA YAKO UKAMWOMBE MSAMAHA NAAMINI ATAKUSAMEHE KWA SABABU ANAKUPENDA MWANAO HAKIKA MUNGU MTUKUFU AKUSAIDIE KATIKA HILO.
🤝👌Mkuu mbona mwenyewe Leo nimepigiwa na Namba ngeni, kuongea nashangaa mtu haongei nikasema hallo ×3, Kuona Bado haongei nikakata. Hilo ndo suruhisho safi.
Sasa wewe hapo Fanya ongea na Bimkubwa kama yupo naye mweleze situation ilivyokuwa, then mwambie akuombee msamaha kwa Mzee. Nama hayuko nae karibu basi mtumie sms Mzee ya kumuomba msamaha.
🤣🤣🤣Aya sasa, umemtukana bibi yako.
dronedrake Poor Brain Hope urassa# ROCA FELLA
TUMA UJUMBE KWA BABA YAKO MWAMBIE AKUSAMEHE KWANI KUNA MTU MLIKUWA MNAZINGUANA AKATUMIA NAMBA NGENI KUKUPIGIA,
KWA ADABU ZAIDI UNAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA BABA YAKO UKAMWOMBE MSAMAHA NAAMINI ATAKUSAMEHE KWA SABABU ANAKUPENDA MWANAO HAKIKA MUNGU MTUKUFU AKUSAIDIE KATIKA HILO.
Magonjwa ya akili yalikuwepo kila sehemu tangu binadamu ameanza kujitambua. Tofauti ni hakukuwa na experts, international media wala JF kukwambia.Magonjwa ya akili tuliyokuwa tunayasikia kwa wazungu, yameingia kwa kasi barani Africa. Tunakoelekea ndio hatari zaidi.. Mungu atunusuru.
Story za facebook
Sasa kama ni mzee wewe achana naye.Inakuaje Jf;