THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
Umemshauri vizuri mpaka nimeku zoom[emoji41]# ROCA FELLA
TUMA UJUMBE KWA BABA YAKO MWAMBIE AKUSAMEHE KWANI KUNA MTU MLIKUWA MNAZINGUANA AKATUMIA NAMBA NGENI KUKUPIGIA,
KWA ADABU ZAIDI UNAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA BABA YAKO UKAMWOMBE MSAMAHA NAAMINI ATAKUSAMEHE KWA SABABU ANAKUPENDA MWANAO HAKIKA MUNGU MTUKUFU AKUSAIDIE KATIKA HILO.
# ROCA FELLAUmemshauri vizuri mpaka nimeku zoom[emoji41]
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
1. Ulichofanya ni kitu kibaya sana. Na, kwa upande mwingine, unemfikishia ujumbe kuwa alifeli katika malezi yako. Hakuna uhalali wa kutukana hata kama hukujua ni nani aliyekuwa akikupigiaInakuaje Jf;
Leo majila ya saa tisa Mchana Namba ngeni imenipigia naona mtu aongei namwambia hallo naona kimya kama dk 1. Moja Kwa moja nimeanza kutukana matusi mengi sana.
Baada ya kutukana nimesikia Sauti ya mzee ndo mnacho fundishwa chuoni huko maana mzee Namba zake zote mbili ninazo, Sasa nashangaa hii namba ni kasajili laini ya tatu au kaazima.
Napiga Namba zake zote hapokei ushauri.πΉπΏ
Ni sahihi wengine kutukanwa?Ila mzee wako nae ana stress,,sikubaliana na ujinga wako,,,lkn kama hiyo ni namba ngeni inamaana hukujua kama ni baba yako,ningemuelewa baba yako kama ungetukana kupitia namba yake
hakika mrembo mbususu# ROCA FELLA
I.D YANGU ISITENGENEZE NAFSI YAKO IINGIE TAMAA YA ZINAA AMA VILE UNAVYO DHANI, JARIBU KUWA MTULIVU
πππππUmefanya vizuri kumtukana yeye ili afahamu amefaulu kwa kiwango gani katika malezi.