Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume?
Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi.
Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.