Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo na mwanamke

Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume?

Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi.

Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.

images.jpeg-65.jpg
 
Haya maisha hayapo hivyo,utajiua kwa mambo ambayo hayapo😝
 
Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.
Mtoto wa kiume una bwana!!!??? Tatizo la afya ya akili ni kubwa.
 
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume?

Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi.

Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.

Mwanaume wako umemnunua? Mwanaume ni wako akiwa ndani ya nyumba yenu, akitoka ni wa wote, fahamu yeye ndio wa kutoa mahari, sio wewe
 
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume?

Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi.

Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.
Hahahahaha na magoshi wanavoongezeka kwa kasii
ongeza konyagi kubwa moja
 
Muda wa kugombana na mwanaume msaliti unautoa wapi?
Ebu muache huyo UTI, kaswende, kisonono, homa ya ini, hpv na hiv aende na maisha yake...!

Wanaume wanaojitambua waaminifu wapo kibao ila Mungu hawezi kukuletea kama utaendelea kumng'ang'ania huyo vidonda vya tumbo.
Hatakuelewa maana mwanamke aliyeumizwa na aliyelelewa utotoni vibaya hawapendagi wanaume wa Mungu, hawana vibe, ila wakihit 30 , ndo wanaanza kuwatafuta.

Siwaoneagi huruma watu wasiotaka kukubali kuwa hawapendwi.
 
pole sana,
natamani tuzungumze pembeni ila siko pazuri kukushauri vizuri ninachokusudia ukifanye na kuamua kwa manufaa yenu wote wawili kiroho na kimwili....

anyway,
hebu keti chini,
relax kwanza mama and if possible hata wine usitumie, unapoenda kuconfront dispute iliyojitokeza baina yako na umpendae, usije kuharibu zaidi kitu ambacho huenda hakikua cha kuharibika :BRUHMM:
Yy Ndio kasababisha haya yote mpaka tametokea na mm siwezi ku calm down mpaka leo usiku aje
 
Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume?

Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi.

Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.
Matatizo ya afya ya akili ni tatizo kubwa nchini
 
Back
Top Bottom