Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nguvu ziamishie kutafuta pesaNilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda f
Ni mwanaume wako hafau huishi naye nyumba moja?Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi,
ephen_ atakayekupata wewe amepata mke mwemaMuda wa kugombana na mwanaume msaliti unautoa wapi?
Ebu muache huyo UTI, kaswende, kisonono, homa ya ini, hpv na hiv aende na maisha yake...!
Wanaume wanaojitambua waaminifu wapo kibao ila Mungu hawezi kukuletea kama utaendelea kumng'ang'ania huyo vidonda vya tumbo.
Wale wauwaji hawaNilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume? Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana wale mbwa. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi. Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.
Amelewa wine huyooo
Dada kumbe p2 unabwia sana na wewe..?Na hizo wine zako subiri huyo Lucifer afike, nakukumbusha kuwa na p2 karibu
Ili kupambana naye vizuri, ungekunywa smart jini!yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.
I'm very ashamed to acknowledge you spoke my mind.Wewe subiria kito.mbo heavy akifika. Huna uwezo wa kupambana naye na hizi wine ndio umekoleza nyege zako.
Jina lako halosadifu matendo yakoNilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo ……………… na mwanamke , ikabidi nipande boda faster nikamfumanie cha kushangaza sijamkuta nampigia namwambia nipo ………….. hapa ulikua na bitch wako umekimbia anasema ww Unafanya nn masaki mida Hii si ulisema Upo kwako , Yani nimemtukana nikamwambia Basi nakufata ulipo tuma location hataki anangabgania umekuja…………….. kufanya nn Au una mwanaume?
Ikabidi niende kwake nimekuta hayupo nampigia hataki kusema yupo wapi, nimewapigia his friends wanajifanya hawajui yupo wapi nimewatukana. Ikabidi niende Mbezi beach kwa wazazi wake nikamkuta sis wake nae anasema hajamuona kitambo kajaribu kumpigia akapokea wakawa wanaongea kwa code akanijibu Eti hataki kumwambia yupo wapi.
Nimeamua nirudi, kanipigia nkamwambia weka video call naskia wanawake wanacheka cheka kwenye gari yani nimemtukana mpk nataka kupandwa ukichaa. Nimemwambia asipo kuja leo usiku Basi kesho asubuhi naenda kufanya vurugu kazini kwake kajibu am on my way . 😡😡😡😡😡 yani uyu Lucifer namsubiri kwa hamu na nimekunywa zangu wine za kutosha ili nipambane nae vizuri mmmmxxxxiiieeeuuuww.