Nilipigiwa simu saa kumi na mbili jioni nikaambiwa mwanaume wangu yupo na mwanamke

ephen_ atakayekupata wewe amepata mke mwema
 
Wale wauwaji hawa
 
Huyu anaonekana akifika anagonga hodi kama mkusanya taka.
 
Pole sana. Uaminifu, subira na uvumilivu vimekuwa bidhaa adimu sana siku hizi.
 
Yajayo hizo ruti zote ulikua unamtafta? Cha kushangaza wote wanakukataa hadi ndugu, mrembo huna Chako hapo
 
Hivi wanaume wenzangu wanatoaga wapi hawa vichaa? Mbona mimi huwa siwapati? Mwanamke wangu unaanzia wapi kunitukana? Haijalishi nimekosea Mwanamke kunitukana huo Ubwege sina yaani mapema kabisa unashika hamsini zako. Kuna njia nzuri na bora zaidi za kutatua migogoro na matatizo kwenye mahusiano kunitukana ni kunipelekea nikukate makofi then jamii inione ni mnyanyasaji
 
Jina lako halosadifu matendo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…