Emilio Mzena
JF-Expert Member
- Jul 13, 2023
- 268
- 639
Nilipishana na msafara wa magari yaliyowashwa taa na double hazard huku kukiwa na lundo la askari wa KM wakiwa na silaha za kivita. Je ndio Lissu alikuwa anahamishiwa Gereza la Ukonga?
Wanakuza mambo kipropaganda sana.Kupoteza pesa za kodi tuu, mtu hana hata kisu ulinzi km Obama kaja bongo.
AmeulizaWe unajuaje