M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Gari gan?Mimi nikiwa 150k nafanya service full!
Mercedes C class (sedan type)Gari gan?
Mkuu Kodi TRA vipi?Mersedes S class (sedan type)
Filters mbili kivipi mbona Toyota yangu inatumia zaidi ya mbiliNilijichanganya 2022 nikanunua 2008 Subaru forester.
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
Mimi nikiwa 150k nafanya service full!
Gari gan?
S class 150k haitoshi hata kununua oil.Mersedes S class (sedan type)
Halafu huyu jamaa sio aliesema huwa anapanda business class kwenye ndege?Kwahiyo umekimbia gharama ya service au spare parts zake...
Ya kwenye makaratasiMersedes S class (sedan type)
Eti Mercedes S class sedan type! Kuna mtu alimwambia kuna S class SUV π€£π€£π€£π€£Ya kwenye makaratasi
HekoCarina Ti yangu nikiwa na 200k nabadilisha kila kitu hadi injini
Labda ya usiku unayopanda peke yakoMersedes S class (sedan type)
Mkuu kwahiyo mwanzo nawewe ulikua boya wakakuuzia?Nilijichanganya 2022 nikanunua 2008 Subaru forester.
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.