T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Jina lenyewe kaandika eti Mersedes. Sijui ni dawa ya kienyeji hiyoEti Mercedes S class sedan type! Kuna mtu alimwambia kuna S class SUV 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lenyewe kaandika eti Mersedes. Sijui ni dawa ya kienyeji hiyoEti Mercedes S class sedan type! Kuna mtu alimwambia kuna S class SUV 🤣🤣🤣🤣
NduviniService kama Huna hela utajuta nasikia hiz v8 bila lak 6 hufany service wazee wa nduvuni
Ofcourse ni gari dogo (sedan) kwa matumizi yangu binafsi! Service ya kawaida sanasana ni kumwaga engine oil, hydraulic oil, kusafisha air cleaner.Labda ya usiku unayopanda peke yako
Nilijichanganya 2022 nikanunua 2008 Subaru forester.
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
tofautisha "service" na "overhaul". Kwa waliowengi baada ya kilometer 5,000 ni kuchange engine oil, hydraulic na aircleaner kupuliza!S class 150k haitoshi hata kununua oil.
Mercedes S Class unasema service yake ni 150K??Mersedes S class (sedan type)
Wewe hio yako ya 150k ni nini?tofautisha "service" na "overhaul". Kwa waliowengi baada ya kilometer 5,000 ni kuchange engine oil, hydraulic na aircleaner kupuliza!
Ngoja niende nae taratibu.Mercedes S Class unasema service yake ni 150K??
unatumia Oil gani na inatumia litre ngapi?
Oil filter huwa unanunua sh ngapi?
Hiyo bei ya 150K ni maajabu kwangu kwa kweli
Hiyo garage unayofanya service iko wapi niwe member aiseee
Sasa v8 si ni wachache! Hayo magari ni ya madonService kama Huna hela utajuta nasikia hiz v8 bila lak 6 hufany service wazee wa nduvuni
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
Mercedes S class engine oil tu ni zaidi ya 150k.Ofcourse ni gari dogo (sedan) kwa matumizi yangu binafsi! Service ya kawaida sanasana ni kumwaga engine oil, hydraulic oil, kusafisha air cleaner.
Service!Wewe hio yako ya 150k ni nini?
Oil Filter tu huku nilipo tunauziwa 80K ndio bei ya hamna hamna dahNgoja niende nae taratibu.
😀 sawa bwana! Basi watu wasingemiliki gari. Unacheza na 500k?Mercedes S class engine oil tu ni zaidi ya 150k.
Hydraulic una maanisha ya gearbox hio ndio inaweza kufika hadi 500k
Mkuu acha fix.Service!
Unamuuzia mtu kitu halafu unamuita boya?
Stupid
Aisee nikutafutie hatavkwa 35,000 unapata.Oil Filter tu huku nilipo tunauziwa 80K ndio bei ya hamna hamna dah
[emoji23][emoji23][emoji23]Halafu huyu jamaa sio aliesema huwa anapanda business class kwenye ndege?
Leo filter imemfamya auze gari!
Rating ya oil filter kama unafanya service kwa wakati huna haja ya kuibadilisha kila serviceOil Filter tu huku nilipo tunauziwa 80K ndio bei ya hamna hamna dah