Nilipogundua Subaru Forester unatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

Nilipogundua Subaru Forester unatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.

Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Service haizidi laki ni sawa,lakini pia inategemea na aina ya gari,ukubwa wa engine n.k.Kuna gari ukitumia hizi oil zetu za kuunga unga unakaanga engine,lazima utumie oil recommended by manufacturer,hapo ndio bei inapopaa,na hizi oil mara nyingi ni genuine,gari nyingine kutokana na engine kuwa kubwa oil lazima iwe nyingi kwahiyo bei haiwezi kuwa ndogo,mf.V6,V8 n.k,kuna factors nying sana...
 
Watu wanaweka Liquimolly lita 6 + ufundi + filter mbona laki 2 hii hapa.
Umenikumbusha machungu ya Liduimolly juzi nimeweka hii Oil kwa 135k but nahisi nimepigwa oil imechakachukuliwa coz kwanza Perfomance ya gari haijabadilika na hata package Dumu wakati fundi anafungua kizibo kilikuwa wazi tuu😡
 
Alie muelewa huyu mtu tafdhali? Subaru forester 2008 inatumia “filter” 2 ! Kama ana maanisha mjumuiko wa aina tofauti za filter kwenye gari hizo 2 bado ni chache !
 
Back
Top Bottom