Mkuu ww kwa crown yako unatumia gharama kiac gan kuanzia plugs, engene oil, gearbox oil, break pads, filters zote kuanzia oil filter, airfilter ac filter fuel filter na ufundi?Nduvini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ww kwa crown yako unatumia gharama kiac gan kuanzia plugs, engene oil, gearbox oil, break pads, filters zote kuanzia oil filter, airfilter ac filter fuel filter na ufundi?Nduvini
ShidaIla hizi Forester SH5 zinazingua sana engine. Zina-knock muda wowote.
YesHii ya boya kanda ya ziwa ndio nimechoka sn aisee 😂😂🤣🤣
Ndo akili zetu hizi wabongo kwenye biashara yoyote ile hatuna staha Wala ukarimu.Unamuuzia mtu kitu halafu unamuita boya?
Stupid.
Bongo nyosoVitu Tanzania vipo bei juu sana Tsh 150,000 ni rand 1000 huku inaweza kufanya Service kwa Mercedes-Benz iwe C Class au S Class bongo wanauza vitu kutokana na thamani ya gari hata kama hiyo Parts haina thamani yeyote mteja lazima alipie gari lake...ndio maana mimi oil na matakataka mengine najibebea tu niliuliza brake pad za X 5 jamaa angu anayo hapo Arusha walitaka Tsh 150,000 nilipokuja SA nimenunua rand 330 tu vitu vya Subaru navyo hawana bei hapa..
Shocks za mbele hapa ni rand 4000 tu ukitaka kubadili vitu vya miguu vyote haizidi laki saba ila Tanzania bei yake niliambiwa mara mbili wauzaji wanaweka bei mara mbili na hasa wakisikia gari ya Ulaya ndio kabisaa..
Niliwahi kuuliza alternator ya Ford bantam na Ford ranger nikaambiwa ni kuanzia 2.5m kuendelea tena wanaagiza nikaja kununua SA haikufika hata laki nane jamaa sijui bei zao wanatoa wapi aisee kwa faida hiyo ndio maana watu walia vipuli vipo juu wakati huku havina hizo bei za bongo labda kwa magari kama Jeep hizi za kisasa..Bongo nyoso
Daaah aiseeHalafu huyu jamaa sio aliesema huwa anapanda business class kwenye ndege?
Leo filter imemfamya auze gari!
Hivi hizi basic watu hamuwezi jifunza kwenye internet na kufanya mwenyewe mpk kila mara ukagawe hela Kwa mafundi,kuna vitu yes lazima upeleke huko lkn kwa technologies za sasa basic hizi jifunzeni mfanye wenyeweOfcourse ni gari dogo (sedan) kwa matumizi yangu binafsi! Service ya kawaida sanasana ni kumwaga engine oil, hydraulic oil, kusafisha air cleaner.
Bloangu punguza spanaa,atakimbia humu huyo mjubaa,hahaaaaaaaEti Mercedes S class sedan type! Kuna mtu alimwambia kuna S class SUV 🤣🤣🤣🤣
Tatizo watu wanawaza kopata utajiri kwa haraka. Hata wale madalali wa magari bei zao si za kitotoNiliwahi kuuliza alternator ya Ford bantam na Ford ranger nikaambiwa ni kuanzia 2.5m kuendelea tena wanaagiza nikaja kununua SA haikufika hata laki nane jamaa sijui bei zao wanatoa wapi aisee kwa faida hiyo ndio maana watu walia vipuli vipo juu wakati huku havina hizo bei za bongo labda kwa magari kama Jeep hizi za kisasa..