Nilipokosa cha kufanya kwa simu yangu nikaamua kutongoza customer care

Nimekuweka kiporo mpaka nipate proof kwanza
 
Bila shaka wewe ni p mawenge naona umechukua hii post umeipost kwenye Instagram page yako. Leo ndio nimepata uhakika kwamba kumbe humu kuna wasanii wengi sana ila mnatumia id tofauti.
Huyo uliye m quote sio P
 
Aina hii ya vijana Wana mchango mdogo Sana kwa taifa
Ila kutongoza si mchezo. Ni kujinadi. Kujiweka wazi kimoyo na kimwili. Anayejuwa kutongoza sidhani kama atafeli interview ya aina yoyote ile. Kudos kwa kijana
 
Huyu kwel P mawenge the day Ep yake imetok na Mimi pia nikaw najiuliz hii idea ya hii post mbn nimetok kuisikia kweny nyimbo ya Mawenge [emoji23] sema EP Kali kiongoz
 
We jamaa bhn[emoji23][emoji23]sema kuna sehemu ume rhyme..sijui kama wameona
 
Shida kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…