Nilipokosa kupiga nae Picha mlinicheka Mitandaoni, mbona Jana nimepiga nae White House na hamnipongezi?

Nilipokosa kupiga nae Picha mlinicheka Mitandaoni, mbona Jana nimepiga nae White House na hamnipongezi?

Cognizant

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2022
Posts
626
Reaction score
1,409
Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili zinisaidie kwa 2025 na zingine nikawekeze zangu tu Kwetu ambako tumenyanyasika kwa muda mrefu tokea Mkombozi wetu apigwe Risasi na Kuuwawa.

Tutaelewana tu.
 
Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu ( Bara la Afrika ) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu ( siwapi ) na naziweka Kibindoni ili zinisaidie kwa 2025 na zingine nikawekeze zangu tu Kwetu ambako tumenyanyasika kwa muda mrefu tokea Mkombozi wetu apigwe Risasi na Kuuwawa.

Tutaelewana tu.

Una maana yale mazungumzo ya maridhiano yasiyokuwa na tija yamembeba safari hii?

Si unajua beberu huwa ubabe uchwara dhidi ya wengine huwa hafagilii?
 
Back
Top Bottom