Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu ( Bara la Afrika ) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu ( siwapi ) na naziweka Kibindoni ili zinisaidie kwa 2025 na zingine nikawekeze zangu tu Kwetu ambako tumenyanyasika kwa muda mrefu tokea Mkombozi wetu apigwe Risasi na Kuuwawa.
Tutaelewana tu.