Nilipokutana na Diamond Platnumz ana kwa ana tukaongea

Inaonekana mkuu wewe kila wakati diamond akipita mtaan unakuwa eneo la tukio hongera mkuu
Sikuomba alitoa mwenyewe ,jamaa anatabia ya kugawa hela ,hata Kuna siku alipita kinondoni akasmama pale sterio kijiwe Cha wanyama wakali Cha tid akawanunulia vinywa akasepa
 
Sasa Wakati hayo yanatokea hakukua na watu?mana inaonesha mlikua wewe,bodigadi na yeye tu
 
Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.

Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaonekana mkuu wewe kila wakati diamond akipita mtaan unakuwa eneo la tukio hongera mkuu
Mkuu tofauti na huko songwe kwa dar haipiti siku bila kuona walau mastaa wawili kitaa
 
Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.

Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Nyie ndio mnaoaibisha wanaume wa Dar es Salaam. Bora tu mji unahamia Dodoma tuondokana na watu kama hawa
 
Nyie ndio mnaoaibisha wanaume wa Dar es Salaam. Bora tu mji unahamia Dodoma tuondokana na watu kama hawa
Yaani mkuu tulipokupokea ubungo umevaa ndala na mfuko wa shangazi kaja Leo unajeuri ya kutufukuza tuliozaliwa muhimbili
 
Mwanaume wa dar katika ubora wako
 
Kwanza niku correct me natokea arusha jombaaa😂😂😂..sasa hata unavyowaona hao wasanii hata mara 10000 kwa siku ww unachofaidika nn sasa labda kwa mfano..
Mkuu tofauti na huko songwe kwa dar haipiti siku bila kuona walau mastaa wawili kitaa
 
Kwanza niku correct me natokea arusha jombaaa😂😂😂..sasa hata unavyowaona hao wasanii hata mara 10000 kwa siku ww unachofaidika nn sasa labda kwa mfano..
Watu wa arusha huwa hawajiamini kabisa bora songwe ,nani kasema anafaidika kwa mfano yaani mkishapata nauli ya kutoka matejoo mkiingia mjini basi shida so urudi jiji la madini dhiki imekuleteni hapa ,fateni taratibu za tulio wa hapa
 
Nawewe ukakubali kuhongwa msimbazi?[emoji56]
 
Ongera zako ila hapo kwa kumpenda Dully na ile mikelele yake full cartoon!!
Nna uhakika ulimuongopea Mond kwa kumwambia unampenda yeye na sio Dully wako
Ckumwambia hilo nilitanguliza ukweli who is my favorite ,nsije nkaja na uzi Nani Kama dully ikakanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…