Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaume Wa Makonda Hawa SheikhNitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
😂😂😂😂 mkuu hv ulifikiria nn ukaandika hivi!!!😂😂😂😂Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Sikuomba alitoa mwenyewe ,jamaa anatabia ya kugawa hela ,hata Kuna siku alipita kinondoni akasmama pale sterio kijiwe Cha wanyama wakali Cha tid akawanunulia vinywa akasepa
Sikuomba alitoa mwenyewe ,jamaa anatabia ya kugawa hela ,hata Kuna siku alipita kinondoni akasmama pale sterio kijiwe Cha wanyama wakali Cha tid akawanunulia vinywa akasepa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Ungeipigaaa in Bi kidude's oneIn bibi cheka voice: Simbaaa
Nyie ndio mnaoaibisha wanaume wa Dar es Salaam. Bora tu mji unahamia Dodoma tuondokana na watu kama hawaNitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Ni shabiki wake sana, japo nampenda zaidi Dully Sykes. Jamaa nilimuona Posta mwezi huu mwanzoni, nikamwita "Simbaa". Hakuitika nikamwita tena akiwa mbali hakuskia ila kuna kabaunsa kakamgusa akanigeukia nkampungia mkono akanipungia mkono na kuzungusha mkono kuwa anakuja.
Sasa nikajiambia haka kajamaa kaongo kanataka kiki ya kujifanya mtu wa watu. Nikaendelea na yangu, dakika kumi karudi kanisalimu akanipa elfu kumi na alikuwa mstaarabu sana.
Akakaa kwenye bao gumu na kunisalimia, akanishukuru kwa sapoti. Huyu dogo sio mchawi ni mnyenyekevu kutokana na maisha magumu yeye na mamake waliyopitia.
Nimejifunza mengi.
Mkuu tofauti na huko songwe kwa dar haipiti siku bila kuona walau mastaa wawili kitaa
Watu wa arusha huwa hawajiamini kabisa bora songwe ,nani kasema anafaidika kwa mfano yaani mkishapata nauli ya kutoka matejoo mkiingia mjini basi shida so urudi jiji la madini dhiki imekuleteni hapa ,fateni taratibu za tulio wa hapaKwanza niku correct me natokea arusha jombaaa😂😂😂..sasa hata unavyowaona hao wasanii hata mara 10000 kwa siku ww unachofaidika nn sasa labda kwa mfano..
Tumechoka na huu undezi wenu kwa wanaume Dar ...Nitasikitika kama utasema wewe ni mwanaume.
Ukamuita Simbaaa
Alipokuja akakupa elfu 10
Dar es Salaam kuna mambo sana
Ckumwambia hilo nilitanguliza ukweli who is my favorite ,nsije nkaja na uzi Nani Kama dully ikakanganyaOngera zako ila hapo kwa kumpenda Dully na ile mikelele yake full cartoon!!
Nna uhakika ulimuongopea Mond kwa kumwambia unampenda yeye na sio Dully wako