Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Tusisahau alikuwa form 4 tu. Hata pesa yenyewe alipewa na mdingi.
Pili haikuwa akili yake yeye kadudu chake kalikuwa kamesimama tu na anataka denda
 
Ngoja nimalizie kwa kifupi mwisho walibakwa wote yeye na demu wake ...ova[emoji40][emoji40]
 
[emoji3516]
KITU CHA TATEPA!!!
 
Tusisahau alikuwa form 4 tu. Hata pesa yenyewe alipewa na mdingi.
Pili haikuwa akili yake yeye kadudu chake kalikuwa kamesimama tu na anataka denda
Madogo inabidi wajue mapenzi kama huna hela sometimes ni fedheha,huyo mwanamke sijui kama atakuja kumsahau maisha yake yote,kamsababishia vibaka wampige tukio binti wa watu 😆😃😄

Hatari sana hio
 
Madogo inabidi wajue mapenzi kama huna hela sometimes ni fedheha,huyo mwanamke sijui kama atakuja kumsahau maisha yake yote,kamsababishia vibaka wampige tukio binti wa watu 😆😃😄

Hatari sana hio
issue haikuwa kutumia usafiri kufika tuendapo bali ilikuwa nipate muda mrefu wa kutembea nae mkuu
 
issue haikuwa kutumia usafiri kufika tuendapo bali ilikuwa nipate muda mrefu wa kutembea nae mkuu
🤣🤣Siku nyingine ukienda sehemu km ni mgeni uliza uliza kwa wenyeji sehemu gani au mitaa gani ni salama kwa kutembea kwanza.

Usitembee kichwa kichwa,usije pigwa tukio tena

Maisha yamekaba watu,people zimechoka sana 🤣
 
Dogo acha uongo, yaani upambane na wahuni sinoni halafu in no time wawe wameshafika na dem wako matejoo? Yaani kwa haraka haraka umbali from sinoni to matejoo ni kama ubungo to manzese tiptop,,,,, sasanhao wahuni walikua wanapaa?
Hapo nachofahamu kwa machochoro ya maeneo hayo kwa mwendo wa haraka dakika 20 tu wako matejoo,
Wezi wa eneo hilo wakimaliza hilo pori wanatokea relini wananyooka nayo mpaka railway station then chocho kwa chocho ngarenaro hii hapa, wanakatiza na njia ya ng'ombe then matejoo hii hapa.
 
Hawawezi ku risk kiasi hicho sana watampiga mashine kule mtoni kwenye vichaka na wachukue kila kitu wsmwachi kyupi kilicho chanwa tu wasepe
 
Hawawezi ku risk kiasi hicho sana watampiga mashine kule mtoni kwenye vichaka na wachukue kila kitu wsmwachi kyupi kilicho chanwa tu wasepe
Kwenye huo mto ni risk zaidi kwa hao wezi, kwasababu ni easy kuwaweka wezi kati kwenye pande mbili za hili pori coz ni fupi sana, nimeshashuhudia wezi wakiuliwa hapo kwa style ya kuwekwa kati mtoni, so kwa mwizi mjanja hilo pori ni gate away tu.
 
Hii story yako ni movie flani hivi ya Kihindi nmeisahau jina. Hivi hivi kila kitu. Yaani umebadili majina tu ya watu na sehemu...we dogo unajua kuingiza watu mjini....,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…