Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Dogo acha uongo, yaani upambane na wahuni sinoni halafu in no time wawe wameshafika na dem wako matejoo? Yaani kwa haraka haraka umbali from sinoni to matejoo ni kama ubungo to manzese tiptop,,,,, sasanhao wahuni walikua wanapaa?
Amechanganya mitaa tu
 
🤣🤣🤣Hio mitaa ina vibaka,huo mtaa wa nyumba za udongo unaitwa bongonyoo 🤣🤣

Unapitaje kwa kutembea saa tano usiku upo na mwanamke?
Nafikiri amekamatwa nhc kale ka mto baada ya round about ya fire akielekea round about ta Gapco soko la Samunge kuna ki giza hapo
 
Nafikiri amekamatwa nhc kale ka mto baada ya round about ya fire akielekea round about ta Gapco soko la Samunge kuna ki giza hapo
sure, ndo hapohapo mkuu
 
Hii kitu ilishanitokea...mm nilishikwa na askari magereza, pori la isanga daa sitasahau..jamaa walikuwa doria ....aisee uzuri demu alikimbia na nilifanya juhudi za makusudi kuwadhubaisha askari ili demu akimbiee....

Hahahaha kilichotokea aisee...,mi mwenyewe enzi hizo kuruta wa jkt...ntakuja na mkasa mzima ngoja dogo amalizie
Chief nikumbuke kwenye tag [emoji23]
 
Nafikiri amekamatwa nhc kale ka mto baada ya round about ya fire akielekea round about ta Gapco soko la Samunge kuna ki giza hapo
Hio mitaa kuanzia saa 12 ni hatari sana,nilishakimbizwaga hapo jamaa na visu.yy anapita akiwa na mtoto wa kike kaishia kubakiwa
 
Sijui kama huyo mtoto atamsahau
 
Sijui kama huyo mtoto atamsahau
Aisee kama alibakwa hawezi kumsahau.

unamtembeza mtoto wa kike usiku kwa miguu,angepanda hataa Toyo

Siku nyingine akimwita mtoto wa kike usiku inabidi ajiandae na gharama za usafiri za kumrudisha,angetafuta hataa kaki ya taxi,unamtoa mtoto out anaishia kubakwa

Wale machalii ile mitaa wanaiba na kubaka,siku hizi wamepungua wamepotezwa potezwa wengi.

Pole zake 🤣🤣
 
Back
Top Bottom