Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Dogo acha uongo, yaani upambane na wahuni sinoni halafu in no time wawe wameshafika na dem wako matejoo? Yaani kwa haraka haraka umbali from sinoni to matejoo ni kama ubungo to manzese tiptop,,,,, sasanhao wahuni walikua wanapaa?
Capture.JPG
 
Ingekua kimasihara nimesoma.

Ila hii hapana, ndefu sana.
 
Hii kitu ilishanitokea...mm nilishikwa na askari magereza, pori la isanga daa sitasahau..jamaa walikuwa doria ....aisee uzuri demu alikimbia na nilifanya juhudi za makusudi kuwadhubaisha askari ili demu akimbiee....

Hahahaha kilichotokea aisee...,mi mwenyewe enzi hizo kuruta wa jkt...ntakuja na mkasa mzima ngoja dogo amalizie
Tabia mbaya unadokeza afu unatuacha na hamu. Mwaga yote tufaidi mkuu
 
Hizo location sijazielewa Nadhani umezikosea mana huko fire/Arusha school na huko Matejoo ni sehemu tofauti na n mbali huwezi kutembea kulingana na maelezo yako.

Ila sio mbaya, nmependa script yako.
 
Isingekuwa ni chai basi na mimi ningemwaga kisanga changu kilicho nikuta mwaka huo huo 2017 siku ya chrismas kuelekea 2018, nikiwa na demu nikachomwa kisu cha shingo, Dem baadaye anakuja funga ndoa na mtu mwingine tena ananiletea kadi ya harusi,
Daaaah, umenikumbusha mbali sana
 
Much know...tunafahamu ila tukujuze tu dogo yuko sahihi neno shell kuwa msamiati sheli unaomaanisha kituo cha kuuza mafuta ..hilo neno lishapita
Leta uthibitisho badala ya kuongea porojo na kuniita much know
 
Back
Top Bottom