Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Nilipokutana na vibaka usiku nikiwa na girlfriend wangu

Askali -faya hawakuliona hilo timbwili kweli walione walinzi wa samunge ??? Kweli hii chai !
 
Unanikumbusha nilivyofungwaga pingu na vibaka unga limited nikiwa nimeongozana na binti enzi za ujana wangu. Maisha haya, Mungu ametuokoa na kutuepusha na mengi.
 
Chai ya kitailand
JamiiForums1478566496.jpg
 
Hii kitu ilishanitokea...mm nilishikwa na askari magereza, pori la isanga daa sitasahau..jamaa walikuwa doria ....aisee uzuri demu alikimbia na nilifanya juhudi za makusudi kuwadhubaisha askari ili demu akimbiee....

Hahahaha kilichotokea aisee...,mi mwenyewe enzi hizo kuruta wa jkt...ntakuja na mkasa mzima ngoja dogo amalizie
 
Fungua thread tuje huko
 
Much know...tunafahamu ila tukujuze tu dogo yuko sahihi neno shell kuwa msamiati sheli unaomaanisha kituo cha kuuza mafuta ..hilo neno lishapita

Nakusahihisha mahali padogo;

Hakuna kitu duniani kinaitwa shell (sheli) ya Gapco,ulipaswa useme 'petrol station ya Gapco' shell ni kituo cha mafuta km ilivyo Gapco

Tunasubiri mwendelezo....
 
Back
Top Bottom