Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

β˜•
 
sijui ni nini natafuta njia ya kurudisha ili niweze tena
Kurudi sidhani kama ni rahisi, back in the day nilikuwa na uwezo wa ku predict kinachokuja kutokea mbele yangu yaani sometimes images kabisa naziona. Sixth sense I mean ambayo kwa sasa kwangu imepotea, maisha ya deals kama unaweza ku sense πŸ’° au ku sense danger huwa ni faida sana lakini ikipotea hiyo ni songombingo tupu kwenye harakati husika.
Nilishawahi kuuliza sababu ya nguvu za aina hiyo kuwepo(normally I don't believe in things that cannot be proved scientifically so this is a tag of war within me) nikaambiwa kuwa you only possess those kinds of powers when you are 'clean and pure'.
 

Nazingatia hapo kwenye "Clean and Pure".

chai ya rangi , mim Nakuamini except mfano wako wa nne .(mgumu sana😎😎😎)

Mm pia nilikuwa nina kanguvu fulan.
Mfano nilikuwa naweza kuota ndoto na zikatokea kweli,. Watu wa karibu kabla ya kufa nilikuwa naona wiki 2 au 3 kabla. Awe anaumwa au kufa gafla au ajali. Nikiota na nikimwambia Mama alikuwa anaanza kulia. Na wiki za mbele msiba unatokea kweli.
Nadhan Misiba inaweza fika 10+ kidogo niliyoiona.

pia Hiyo ya Mvua nilikuwa naweza. Na wingu likitanda nikinuia jua liwake linawaka kali ndan ya sekunde chache tu.
Kufungua milango nilikuwa naweza pia.
Kunuia kitu na kikatokea nilikuwa naweza pia.
nakumbuka form 4 niligombana na washkaj kadhaa (walikuwa wananionea bwenini na kunichezea rafu uwanjan) na nikanuia wapate zero na wote walipata. Watu kama 5 hiv 😎😎😎😎.

Na mengne meng nilinuia na yakatokea.

Na hapa sio kwamba ni dini au uchawi. Hapana. Nasema tu "Mungu naomba hivi na hivi" then unatulia na ukikumbuka unaomba tena, na baadae kinatokea.

Too Bad nimepoteza hiyo Nguvu kwa miaka Mingi sasa.

So nakuamin Bro. Hivyo vitu viko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…