Nilipokuwa mdogo nilikuwa na uwezo wa kufanya Miujiza

chai ya rangi
 
Maisha ninayoishi sasa niliyaona na kuyawish yatokee miaka 20 nyuma. Miaka ya 2000's. Too Bad tangu miaka 2010's nikawa siwez tena kuona mbele. Kila nikiwish naona roho inakataa, mind inagoma kuimagine, mapigo ya moyo hayadund the way yalivyokuwa yanadunda kwenye zile Wishes za nyuma. Na Naona giza mbele.

Na hapo ndio nikajua Sina nguvu tena. πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”.

Ngoja nifike 40's niache starehe za dunia na kutuliza Mind tena.
Niwe msafi. Nione kama ntaweza rudisha zile nguvu.😎😎😎😎
 
Mpaka niwe nakufahm
Na sikuot hivyo
Lazima iwe karibu sana
Na sioti direct kwamba ni wewe
Naweza ota tu kwenu kuna msiba
Ila sijui wa nani

Mm nilikuwa naona msiba, na zile character za mtu. Kwahiyo nikisema. Na kama yule mtu anaumwa bas hawez kupona,
Na hao watu kumbuka mim siwajui au sijui kama anaumwa maana nilikuwa mdogo 7-12 yrs hivi.
(Mama ndio anawajua na nikisema nimeona na nikataja mtu anafanaje, Mama ndio alikuwa anaanza kuangua Kilio)

Au naota kuna msiba alaf Flan ambaye ninaemjua analia sana.

Bas huyo mtu atafiwa na mtu wake wa karibu, kwa namna yoyote.
 
Unajua athari ya bangi endapo itavutwa na mama mjamzito hubaki kwa mtoto hata baada ya kuzaliwa.

Skunk aliyokuwa anapiga Bi Mdashi ilikuwa ya ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…